off topic kidogo:
hatimaye mzungu a-surrender kwa rais wa tanzania.
wakati marais wa nchi nyingi za afrika hususani kenya hupenda kwenda ulaya kulamba miguu ya wazungu,mzungu John L. Thornton ambaye kiwadhifa ni Mwenyekiti wa kampuni kubwa duniani linalojishughulisha na uchimbaji madini,barrick gold corporations,leo amekuja tanzania na ndege yake binafsi ku-resolve the ongoing mining conflict with our president, Dr John Magufuli.
hii haijawahi kutoka nchi yoyote EA.kama iliwahi kutoka,basi ni zamani sana isipokuwa tanzania.
ikumbukwe JPM,tangu awe rais,hajawi kuwa na kiherehere cha kwenda ulaya kujipendekeza kwa wazungu kama anavyofanya Uhuru kenyatta au kama alivyofanya jakaya kikwete,mpaka watz tukampa jina Vasco da gama the explorer.
asante sana jpm kwa kurejesha heshima ya mtz.wazungu watakuja wengi sana kutubembekeza round hii.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]