Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama tisa ivi. io uezi linganisha na Diani kwenye zaidi ya hoteli elfu moja
uwingi wa hotel "zenyu" huko Mombasa sio tishio kwa utalii wa Zanzibar.

north korea ni nchi ndogo sana yenye ukubwa wa 46,541 mi² tu,lakini inaogopwa na USA yenye ukubwa wa 3.797 million mi² .tafakari.
 
znz
Royal-Zanzibar-Beach-Resort-Nungwi-2358x837-720x256.jpg
 
let's not over deviate from this thread. ....we've been in this for the last 24 hours. Zanzibar is great I admit. .......honestly no one in this world doesn't know Zanzibar. it's a hospitality driven country
 
safi sana...huo ndio uanume.
mwisho wa siku lazima mwanaume kamili aonyeshe ustaarabu wa kukiri kuzidiwa na mwanaume mwingine.
 
let's not over deviate from this thread. ....we've been in this for the last 24 hours. Zanzibar is great I admit. .......honestly no one in this world doesn't know Zanzibar. it's a hospitality driven country
watu wako wakisoma hiyo comment watakuchukia...watasema wewe si mkenya halisi.watasema wewe ni mtz uliyezamia kanya.
 
let's not over deviate from this thread. ....we've been in this for the last 24 hours. Zanzibar is great I admit. .......honestly no one in this world doesn't know Zanzibar. it's a hospitality driven country
sema tu unataka kuendea baikoko na chakacha. don't forget these are promo pictures. there hotels are never filled up, rooms go empty. Enda Diani na Watamu uone wajerumani na waitaliano wakijimix na locals.
 
perfectly umeonesha ujasiri mkubwa sana
 
sema tu unataka kuendea baikoko na chakacha. don't forget these are promo pictures. there hotels are never filled up, rooms go empty. Enda Diani na Watamu uone wajerumani na waitaliano wakijimix na locals.
Povuuuuuu
 
Diani pia is one of the best in Africa and Watamu too......mimi ni mkenya original. born and bred in Mombasa, Kisumu and Nairobi.

let's not deny our neighbours everything hahaha. ....tuwapatie kidogo tu
 
Tajiri no moja afrika mashariki
Hoteli ykipekee inayoelewa juu ya maji ukanda wa afrika mashariki.....znz tz
Screenshot_20170611-213217.png
Screenshot_20170611-213225.png
Screenshot_20170611-213232.png
Screenshot_20170611-213250.png
Screenshot_20170611-213307.png
 
sema tu unataka kuendea baikoko na chakacha. don't forget these are promo pictures. there hotels are never filled up, rooms go empty. Enda Diani na Watamu uone wajerumani na waitaliano wakijimix na locals.

true. ...Italians have made Malindi their homes.
 
Diani pia is one of the best in Africa and Watamu too......mimi ni mkenya original. born and bred in Mombasa, Kisumu and Nairobi.

let's not deny our neighbours everything hahaha. ....tuwapatie kidogo tu
😀😀😀😀😀 umekubali japo kishingo upande
 
sema tu unataka kuendea baikoko na chakacha. don't forget these are promo pictures. there hotels are never filled up, rooms go empty. Enda Diani na Watamu uone wajerumani na waitaliano wakijimix na locals.
Promo pics how????? Hazijai kwan we ndio unsajili wageni hoteli za znz?????
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
most of these pics are blueprint pictures... pia ziko highly edited for advertisement purposes. ni kulala kwenu ndio inafanya Mombasa beats you in tourist arrivals. endeni muadvertise ivi kwa CNN na BBC mupate tourists
 
Imekua blue print tena????? 😀😀😀😀😀
Zanzibar ndio mfalme wa beaches na hoteli za kisawasawa africa mashariki
 
Back
Top Bottom