Jafari Haruna
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 347
- 962
Mwingine anakuja na Vijengo vya Floo 6Hii thread nadhani ndio inaoongoza kwa kutumia storage space kubwa kwenye server za jf maana mapicha picha na videos ni nyingi sana tangu huu uzi uanzishwe. Hivyo tunaomba wakenya mpunguze kurudia rudia kupost picha za majengo ili tusijaze server za watu bure kwa hizo repeated photoz. Musi si mrefu kuna alert ya storage limit kwa hii thread itakuja toka kwa jf admin.
kwani kuna mahali imeandkwa tusipost mijengo ya floor 6..boss mimi nawaonyesha venye nairobi imejengwaMwingine anakuja na Vijengo vya Floo 6
Hahaha Sasa tukianza kupost hivyo
Kariakoo kuimaliza ni Miaka 6
Mko na ngapi mwanza ?😂 😂Footbridge nayo habari
Hata mwanza zipo
Sio habari hiyoMko na ngapi mwanza ?😂 😂
Gorofa 6kwani kuna mahali imeandkwa tusipost mijengo ya floor 6..boss mimi nawaonyesha venye nairobi imejengwa
kwani server ni yako?Gorofa 6
Ndio utuletee hapa!!
Nikujaza saver ya Jf
Ni ujinga na Utotokwani server ni yako?
Magufuli mwenywe kawahwahimu sauti sol pia[emoji23][emoji23]Angalia Wakenya wanavyotuheshimu mpk jeshi lao linatumia nyimbo ya msanii wetu, #Ali Kiba 'seduce me' Tz baba laooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Barabara za mitaani ndio unaweka hapa..hta aibu huna
Model yenyewe ya hii road dyo hi,moto sana [emoji122] [emoji122]
View attachment 1521562
Ushawai pelekwa nini hko[emoji23][emoji23]
Wenzako walinengua sana hapa na hilo hilo neno, wewe unalileata sahiIngekua kenya ingeitwa three level interchange with BRT highway
Tafuta majengo km hayo aliyoleta kariakoo tuchekeMwingine anakuja na Vijengo vya Floo 6
Hahaha Sasa tukianza kupost hivyo
Kariakoo kuimaliza ni Miaka 6
railway towers..westlands..NAIROBI
View attachment 1521726
Leta km hyo hapo mwanza ya ghorofa sita tuioneGorofa 6
Ndio utuletee hapa!!
Nikujaza saver ya Jf