Photoshop it was a Twitter competition on who can Photoshop better. So heri wa render sababu huenda ikakamilika, lakini wewe 🤔 Photoshop zi!!!!We unaleta ma renders hapa we vp, basi pambana na mwenzio huyuView attachment 1521531
Ingekua kenya ingeitwa three level interchange with BRT highwayOgopa matapeli 3level interchange East and Central ipo moja tu nayo ni hii hapaView attachment 1521543
inajengwa wapi??😂😂😂😂
i see kilimani 😂😂😂😂Another one from ngong road View attachment 1521565
waongo sana hawa wanaokota picha za ujenzi wanakwambia wanajenga 😂😂😂Hivi vinondo mbona kama vya kuweka bango la matangazo?
tafuta picha za maana upost hapa acha kujaza serverKILIMANI AREA ALONG NGONG ROAD NAIROBI
View attachment 1521651
View attachment 1521652
View attachment 1521653
DUNHILL TOWER..WESTLANDS NAIROBItafuta picha za maana upost hapa acha kujaza server
Hahahahaha hiyo gari imenikumbusha movie ya War busIsuzu injection dah majiran wako nyuma sana asee . hii midubwana huwezi ikuta hukuu wao iko CBD inoiga kaziii kabisaaa duhhhView attachment 1518106
We jamaa kiukweli unachofanya co fair kabisa unapost jengo moja moja af ni picha ambazo tunazijua zipo humu zote manaake nn ss.PRAMUKH TOWER WESTLANDS
View attachment 1521711
Itakua ila kwa sasa tumewaziba midomoImagine hii itakuwa shadow kwa Nairobi overpasse (11km) wakati yenu ni just 725View attachment 1521550View attachment 1521551m,pole sana
tafuta picha za maana upost hapa acha kujaza server..
si wewe ulikua umepost picha ubungo interchange awali..na hio imeshawai kurudiwa mara ngapi apa?We jamaa kiukweli unachofanya co fair kabisa unapost jengo moja moja af ni picha ambazo tunazijua zipo humu zote manaake nn ss.
wanatafuta pakutokea kiutu uzimaCku hz vyombo vya habari vya kenya vimesahau kuabudu wazungu wanaabudu Magu asubuhi mchana mpk ucku.
Footbridge nayo habariNa hii utasemaje iko na flyover underpass na modern footbridge
View attachment 1521541
Tukianza Kupost vijengo vya Gorofa 6