komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Yani mkenya ababaike na nchi za hapa afrika[emoji23][emoji23][emoji23]Baby, Safari yako nje ya Kenya umesafiri wapi? Nataka nikupee ofa twende Cape Town
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manake hko mnashikwa na kurudisha kw makundi makundi..
Mna shobo sana na wasauz lkn wao hata hamnazo