ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
Huyu kabila lake lipo jirani na Tz 😁Waluhya hawanaga noma wanakuwaga watu peace sometimes,
Tatizo ni yale makabila mawili [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kabila lake lipo jirani na Tz 😁Waluhya hawanaga noma wanakuwaga watu peace sometimes,
Tatizo ni yale makabila mawili [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kabila lake lipo sehemu wanapaita busia mpakani na Uganda.Huyu kabila lake lipo jirani na Tz [emoji16]
Mungu wenu.aliye wajengea Nairobi na bado anawajengeaMzungu alishasema hii ni fishing village na hakukoseaView attachment 1521093
Angalia Wakenya wanavyotuheshimu mpk jeshi lao linatumia nyimbo ya msanii wetu, #Ali Kiba 'seduce me' Tz baba laooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Msikieni huyu mpuuzi anataka kutufanya watu wajinga humu au anadhani yupo nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]KIBERA upgrading ..slum being demolished...new high rise being built
View attachment 1521457
Msikieni huyu mpuuzi anataka kutufanya watu wajinga humu au anadhani yupo nairaland [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakenya wanaumwa sn na Kibera walai wanaumia zaidi wanapogundua Tz hamna slums, eti slums demolition[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zipo nyingi Tz mpk tumezoea ujenzi wa barabara mpya za kiwango, tafuta road km hizi kenya ukipata nitag[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Roads being constructed at all parts of the country,now I believe the target Uhuru set for construction of 10,000km roads will be achieved
bara bara ndogo iyo..ona kitu kama hiki...Zipo nyingi Tz mpk tumezoea ujenzi wa barabara mpya za kiwango, tafuta road km hizi kenya ukipata nitag[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1521460View attachment 1521464
Kwamba mtaweka vzr mazingira km haya, ngj tuone.
Rangi ya barabara tu inaonesha road imechoka sn hyo [emoji116][emoji116]bara bara ndogo iyo..ona kitu kama hiki...View attachment 1521480