The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Ilikuwa ukienda pale kkoo mida km hii unasikia majenereta tu kkoo nzima, na ikifika weekend ndo kabisa hakuna umeme, yn watu wana lana sn hv inakuwaje mtu unashindwa kutosheka na unachokipata? Hawa African leaders mbn ni wasaliti sn?Nchi ilikuwa imeoza sana halafu utasikia mkumbaf mmoja eti JPM hajafanya kitu,
Yaani walikuwa wanazima umeme makusudi na kufungulia mabwawa ili wauze majenereta yao,
Sasa hivi mgao wa umeme umekuwa historia wakati kipindi kile ulikuwa unakatika asubuhi na kurudi usiku na hii ilipelekea nchi kukosa wawekezaji waliokuwa na mpango wa kufungua viwanda.
Hao ndio wenye vihamba Kenya pamoja na watoto na wajukuu zao.
Kuna mambo muda mwingine unafikiria hadi unakosa jibu [emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa ukienda pale kkoo mida km hii unasikia majenereta tu kkoo nzima, na ikifika weekend ndo kabisa hakuna umeme, yn watu wana lana sn hv inakuwaje mtu unashindwa kutosha na unachopata? Hawa African leaders mbn ni wasaliti sn?
Mke wa mh hayati jomo KenyattaYani ukienda kenya kila eneo ni mama Ngina, mashamba ya chai mama ngina, ya maua mama ngina, ranchi za ngombe wa maziwa mama ngina, mashamba ya ovacado mama ngina, parks za beach mombasa mama ngina, city park nairobi mama ngina.majengo na mahoteli mama ngina... huyu mama ni mama gani? na huyo ngina ni nani?...nimemuuliza mdau hapo ila kanitoroka bila jibu.
Ndio maana Jayden ananenepa tu na kutoka mashavu...😂😂😂
Show us your current updates to substiant your argument!This was during Kikwete"s era when the economy was booming and growing at more than 7% annually lakini sio zama hizi za mjamaa Magu every thing especially private economy has stalled and is struggling ndio maana hakuna chochote cha maana kinafanywa na private sector kwa sasa
Licha ya hasara kubwa,,pia wanawanyima fursa watu wenye sifa stahiki ya kushika hizo nyadhfa....imagine mtu amesoma kwa ufaulu mzuri wa kuanzia shule ya msingi mpaka chuo anakosa kazi kisa kuna pande la mtoto wa kigogo aliekaa mtaani tuu bila kuhenyea shule.JPM ni shujaa wetu acha huyo ahare uharo wake..hatujali.Yn watu waliotumbuliwa wana hasira sn na Magu lkn wanasahau kwamba walikuwa wanaiingizia serikali hasara kwa kuwalipa mishahara wasiyostahili na bado wapo wengi tu mkuu bado wapo serikalini wazee wa vimemo.
Ni ukweli usiofichikwa kwamba JK aliifubaza nchi yetu sana,kwanza tukawa wanyonge kwenye taifa letu na hata uko nje, watu wachache wanaojiita wajanja wa mjini wakanufaika wenyewe,,,wanyonge hawakuskizwa...leo hii kuna mjinga atakufundisha namna ya kumsifu JPm...Nchi ilikuwa imeoza sana halafu utasikia mkumbaf mmoja eti JPM hajafanya kitu,
Yaani walikuwa wanazima umeme makusudi na kufungulia mabwawa ili wauze majenereta yao,
Sasa hivi mgao wa umeme umekuwa historia wakati kipindi kile ulikuwa unakatika asubuhi na kurudi usiku na hii ilipelekea nchi kukosa wawekezaji waliokuwa na mpango wa kufungua viwanda.
Wanajifanya hawaoni hii,hahaNairobi westlands
Inatuhusu nini sisiWanajifanya hawaoni hii,haha
Huyu jamaa lazima atakuwa ameathirika kiuchumi either directly au indirectly baada ya Presida Magu:Ndio hao waliokuwa wanafungulia mabwawa makusudi ili nchi iingie kwenye mgao wa umeme ili wauze majenereta [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo hakuna haja ya kureply quotes zake ni kumuignore tu.Huyu jamaa lazima atakuwa ameathirika kiuchumi either directly au indirectly baada ya Presida Magu:
1. Kudhibiti uingizaji na usafirishaji wa ngada
2. Kudhibiti biashara ya pembe za ndovu (Meno ya tembo n.k)
3. Kuwatumbua wenye vyeti feki
4. Kudhibiti watumishi hewa kwenye utumishi wa umma
AMEATHIRIKA KISAIKOLOJIA TUMUACHE TU NA TUMHURUMIE TU HUYU.
Bila filter kunyaland mambo hayaendiheheh hapo hakuna filter bali ni ushuzi👇View attachment 1519343
Mm huwa namcheki af nampotezea tu maana yeye huwa analeta siasa humu anajua watu humu ni ccm af yeye ni chadema hajui kama kuna ambao hata huyo Jpm hatukuwahi kumpigia kura.Huyo hakuna haja ya kureply quotes zake ni kumuignore tu.
Huwa nikiicheki mibarabara yao mivumbi pembeni mtindo mmoja, af mm na ma road yenye vumbi huwezi niambia kitu nkakuelewa, Dar tumejaliwa hakuna vumbi jekundu km nairobi ila kuna vile vimchanga flani barabarani Makonda alianza kwa mbwembwe usafi usafi na kweli road zilikuwa clean but naye akasanda matokeo yake mitaani tuna roads nzr za kupendeza lkn michanga inaondoa mandhari nzuri ya roads, nimepanga cku nifungulie uzi nimuombe mkuu mpya wa mkoa aseme na wenyekiti wa mitaa wahakikishe roads na mitaro vinakuwa clean au faini kwa wale ambao barabara zinazopita barazani kwao zitabainika kuwa na mchanga au mitaro yenye taka.Bila filter kunyaland mambo hayaendi
What about these...?Upperhill Nairobi Kenya, will overtake Sandton South Africa in the coming few years after all road projects are done
View attachment 1519136View attachment 1519137View attachment 1519138View attachment 1519139View attachment 1519140
Mzee KitulizeNairobi river is getting green and clean
View attachment 1519147View attachment 1519149View attachment 1519150
Toa Uchafu Huo,
Victoria, Dar es salaam TanzaniaJacaranda, Githurai Nairobi Kenya
View attachment 1519168
Sayon Industry, Mboga VillageThere is an Industrial City under construction in Juja Nairobi Kenya called Northland City
View attachment 1519158View attachment 1519159View attachment 1519160View attachment 1519161View attachment 1519162View attachment 1519163View attachment 1519164