ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wakiona vitu vizuri wanavamia tu 😀😀😀😀😀😀😀wewe ni mgeni wa hii thread,hata huijui kwanini watu tumefikia hatua ya kupost picha za Znz na wakenya kupost picha za mombasa.
tulia kijana,acha papara.rudi page kadhaa nyuma na usome baadhi ya comment kwa umakini ndio utajua sababu ya kupost picha za zanzibar.
thread hii umeivamia kwa pupa.
ichoboy01