Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The late Mkapa died of COVID-19 coronavirus Former Tanzanian president Benjamin Mkapa dies
Hapo kwenye heading yako ulipaswa kuweka question mark cz habari uliyoi atach haijazungumzia chochote kuhusu covid-19, alafu ww Zigi Rizla usifosi tufanane huku kwetu hakuna corona najua unaumia sn lkn huo ndiyo ukweli wenyewe, mpk jana the late Mkapa alikuwa yuko safi tu according to Mr. Jakaya Mrisho Kikwete ila alikuwa anajisikia vibaya kiasi lkn usisahau kwamba ni mzee yule aged 81 na miezi michache ijayo angetimiza 82 ss ulitaka aishi milele hapa duniani? Mana umri wa kwenye maandiko alishaufikia ss unataka aishi miaka mingapi?
 
Usitumie nguvu nyingi kumwelewesha Hawayani,asubiri aone kuanzia jumapili watu watakaoenda kuaga mwili...corona iko huko kwao..Tanzania ndio nchi pekee salama kwa wakati huu duniani.
Salam kwao.
 
Angekuwa na corona kikwete asingeruhusiwa kumuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…