Ndo mana WaTz hatuna mpango na takwimu zao cc tupo bize na nchi yetu hayo matakwimu yao wabaki nayo wenyewe, tunajenga reli ya umeme wakipenda waandike kenya ndiyo ya kwanza kutumia treni ya umeme, tunajenga hospitals with modern facilities wakipenda waandike Rwanda iko juu ya Tz kwenye sekta ya afya, tunawasha taa vijiji vyote Tz wakipenda waandike Uganda wako vzr kwenye electricity in EA, tunaunganisha mikoa kwa road safi zenye viwango lkn wacha waandike nchi wanazopenda wao ndiyo zenye barabara nzuri but mwisho wa siku aibu itawakumba watakuwa hawana namna [emoji3][emoji3][emoji3]