The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
The rest with cosmetics 















Halafu kumbe founder and CEO ni ngozi nyeupe.Na huu ndiyo ujinga uliopo kenya yn mmekuwa wapumbavu kiasi kisichopimika, unasema made in Kenya je mnaviwanda vya kutengeneza gari nyie? Hao SA wenyewe bado wana assemble lkn nyie nchi maskini mnasema mnatengeneza gari, nyie ni zaidi ya wapumbavu.
Hawana lolote hawa popo.Halafu kumbe founder and CEO ni ngozi nyeupe.
Have you ever looked at the border KE and TZ near Kilimanjaro!? It was skewed. We as Kenyans are forcing this agenda and it will end up in the parliament for further deliberations.





,
ProperAfter CBD,upper hill,westlands,here I introduce you to KILiMANi
View attachment 1513674View attachment 1513675View attachment 1513676View attachment 1513677
I wish nijue kwenye forecast wametumia nn upande wa Tz ..hasa considering...Nimekua nikiangalia imf GDP forecast for 2024 mambo yako hivi
1.Nigeria $762B
2.Egypt $453B
3.South Africa $434.4
4.Algeria $178.2B
5.Morocco $161B
6.Kenya $158.8B gdp PPP $281B
7.Ethiopia $146B
8.Angola $109$
9.Tanzania $92.2B gdp PPP $286B
10.Ghana $90.5B
Nachokiona before 2030 kenya inawapiku Morocco na Algeria kama trend itaenda ilivyo...Tanzania itaipiku Angola before 2030,Ethiopia itaipiku Morocco ...Yani kutatokea kubadilishana number sana...
NB;Nigeria is untouchable jaman...The gap is widening before 2030 sio ajabu wakahit 1trillions.
Hayo Ni matazamio chochote kinaweza kugeuka na ndio maana kila mwaka wanatoa update. Kama ulioyahainisha na mengine yakatoa positive impacts kwa uchumi basi tutapaa zaidi ndani ya muda mfupi ujao...Hapa tu tayari covid-19 imeshaharibu mkeka watakapotoa taarifa ya mwaka huu kuna ambao imewaathiri vibaya sanaI wish nijue kwenye forecast wametumia nn upande wa Tz ..hasa considering...
1.Pipeline ya Tanga..ujenz hujaanza$3bn
2..LNG bado ya 20-30$bn
3..Fertlizer plant ya lindi $1bn
4..Iron and Coal mining $3bn at Liganga and mchuchuma...
5..Sinoma Cement plant tanga $1bn
6..Kuendeleza SGR to Mwanza..>$3bn and maybe kigali
Hizo ndo projects in next 5yrs ambazo zina value ya $1bn na kuendelea..je wameconsider effect yake...
Wakuu kwa huu mwendo tunaoenda nao panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu ifikapo 2024 gdp yetu itashangaza watu humu nyie subirini, hyo $92b ni ya kitoto sn, niko optimistic mno kwny hili tusubiri muda utaongea.Nimekua nikiangalia imf GDP forecast for 2024 mambo yako hivi
1.Nigeria $762B
2.Egypt $453B
3.South Africa $434.4
4.Algeria $178.2B
5.Morocco $161B
6.Kenya $158.8B gdp PPP $281B
7.Ethiopia $146B
8.Angola $109$
9.Tanzania $92.2B gdp PPP $286B
10.Ghana $90.5B
Nachokiona before 2030 kenya inawapiku Morocco na Algeria kama trend itaenda ilivyo...Tanzania itaipiku Angola before 2030,Ethiopia itaipiku Morocco ...Yani kutatokea kubadilishana number sana...
NB;Nigeria is untouchable jaman...The gap is widening before 2030 sio ajabu wakahit 1trillions.
Uganda watakua na $50.9B ,Rwanda $15BWakuu kwa huu mwendo tunaoenda nao panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu ifikapo 2024 gdp yetu itashangaza watu humu nyie subirini, hyo $92b ni ya kitoto sn, niko optimistic mno kwny hili tusubiri muda utaongea.
Hizo ni projections zao ila cc ni watu wa kupindua meza we subiri mkuu utaniambia mwenyewe.Uganda watakua na $50.9B ,Rwanda $15B