Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watajua hawajui
4 waaga dunia huku visa vya Covid 19 vikifika 13,771
Screenshot_2020-07-20-17-28-10.jpeg
 
Dodoma is sure as hell going to be on🔥 Apparently serikali baada ya kuona Kuwa imetumia BRT Dar, Dodoma wameplan kutengeneza tram system. Pia Dodoma kutakuwa na light rail kama iliyoko proposed Dar Es salaam. Mwenye link ya Full report ya JICA atuletee basi Maana mimi nimepata hii picha na quality yake sio nzuri. Nimejaribu kutumia magnifying glass ya simu nimeona kuwa the yellow lines Ndio tram ways na the blue line in the north is the light rail, the other blue line in the center is the SGR, and the pink part is where the Dodoma sgr station will be located.
01DDA073-DF1F-4B16-9E4B-0B1279DC68BD.jpeg
CCD80D58-D5EC-4671-B099-A903FCC55A5C.jpeg
 
Back
Top Bottom