Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

EdJCJ74X0AUkbBT.png
 
Nashukuru kwa taarifa mie tayari kura yangu kwa Taifa langu Fasta

Japo kwenye Shirika la ndege hatumo nimempa Ethiopia bora tuView attachment 1511448
View attachment 1511451

usiishie hapo [emoji28]... naona umepiga kura mbili[emoji28].. zipo categories nyingine ambazo Tanzania tupo
pia sehem ambazo Tanzania haipo.. nimeweka kura sehem ambayo ni least kushinda.. mfano hapo kwenye airline nimeweka hio royal air maroc ingawa siijui .. ukimpa ethiopia (ambae ni bora na mshindan mkubwa), unampa nguvu zaid
 
Hizi mambo tumekuwa tukiziongea humu mara kwa mara kwamba kenya hawana ardhi ya kuwafanya waongoze kwa kuuza mazao nje ya nchi, zaidi ni uwakala ndiyo ulikuwa ukiwapa jeuri lkn pia na uongozi wa hovyo tuliokuwa nao huko nyuma, ss watakula jeuri yao maamaeee report kamili subirini 2023 ndo wataelewa mchezo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Sababu ndege za Tanzania kupeleka mazao ya bustani njeView attachment 1510941
Hii ni barua ya msiba,tutegemee upungufu wa $milionare huko Kunyaland empire
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
alieanzisha hii page aagize viwanji apendavyo wiki nzima nitalipa [emoji28]
View attachment 1511567
mkuu maana halisi ya giant awekening ndio hii sasa,mashambulizi jf,Twitter,insta,youtube,wikipedia mpaka pluto[emoji23][emoji23][emoji23]

watajua kwamba wingi wa watu una faida gani,mpaka watajua kuwa kweli tumeamka.
 
Back
Top Bottom