Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792




Yaah hivihivi yaan. Mi mwenyewe kuna mkenya mmoja kanichonganisha na wadada wa Tz kwa kuongea maneno ya uongo kabisa ili ajipendekeze tu.... nilimpa makavu sio kitoto, na hao mashori wakiTz nikawapa shit waache ushamba kubabaika na wakora wa kiKenya...Na ni wachonganishi sana. Unakuta anakuchekea kumbe anakupiga chini chini.
Hatari sana, wapi hio mkuu
umewasahau wakina masakuu,ojwani na wakina wanjalaJamni wakina Omera na onyango mpooo..!! Mimi napita kuwasalimia tu![]()
Na wakina udongo, kamongo ,umewasahau wakina masakuu,ojwani na wakina wanjala



Hatari sana, wapi hio mkuu
nadhani bila shaka ishamfikia mzee omotiNa wakina udongo, kamongo ,
Uboro,
Bila kumsahau na Nyurumo Oding'oo.
salamu ziwafikie popote mlipo![]()
Magufuli alishawapiga knockout mapema sana,sasa wamebaki kubwabwaja tu
Wapo chini zaidi ya LDC wapo middle finger countryNakuambia baada ya huu ugonjwa kenya inarudi ldc, cz huu ugonjwa kule kule kwao utawachukua mda sn kurudi ktk hali ya kawaida, actually inaweza fika hata 2025![]()