The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tatizo hawa jamaa sijui tusemeje,ile ni kwamba dada zao wengi wameolewa huku sasa na wao wanaona wivu kwa sababu shemeji zao tumewagomea kuja kukaa huku, wabaki tu makwao.Not so impressive as you stated, more like Cool_ There's a lot more in Dar than that including nights out on Islands
Nimetazama hii video ya Nairobi na ni wazi kuwa Nairobi iko ligi yake. Dar haiwezi shindana na Nairobi kwenye tourist sites, skyscrappers na infrastructure.
WOW! Nairobi is "MASSIVE"!!
That Fire LA•3.4K views•5 hours ago
Dar will never be a first world city, never! Maybe in 150 years, all factors remaining constant, hilo ni ndoto😂😂😂, just display aerial view ya the whole city ya Dar, around 10-15% is somehow modern, the rest 90-85% ni balaa from an earial view. Residential uchwara., afadhali Nairobi has slums in selected areas which can be annihilated easily., pengine ungesema Dodoma ambayo inaanza, it can pull a first world standards, lakini masikini wengi mtatiririka kule kwa wingi na kuifanya iwe bovu kama Dar😂😂Yani we tony254 Dar inakusumbua sn wkt cc wala hatuwazii Nairobi, tunachowaza ni Dar yetu kuifanya iwe europe ya EA
sio Mkenya huyo.
Awesome!Dodoma is sure as hell going to be on🔥 Apparently serikali baada ya kuona Kuwa imetumia BRT Dar, Dodoma wameplan kutengeneza tram system. Pia Dodoma kutakuwa na light rail kama iliyoko proposed Dar Es salaam. Mwenye link ya Full report ya JICA atuletee basi Maana mimi nimepata hii picha na quality yake sio nzuri. Nimejaribu kutumia magnifying glass ya simu nimeona kuwa the yellow lines Ndio tram ways na the blue line in the north is the light rail, the other blue line in the center is the SGR, and the pink part is where the Dodoma sgr station will be located. View attachment 1511858View attachment 1511859
Unaota wewe. Skyline ya Nairobi imeishinda Dar na wala hakuna ubishi hapo. The 3rd tallest and the 5th tallest buildings are in Nairobi. Soon another one called GTC will be commisioned. Yaani kati ya majengo nane ndefu Africa Kenya itakuwa na tatu mwishoni mwa mwaka huu. 1. Britam towers (200 metres). 2. Global Trade Centre (184 metres). 3. UAP building (163 metres).Nop hakuna mji E.Africa & C.Africa unaishinda Dar kwa Skyline; Haupo!
Labda kama unaongelea upande wa services. Hapo tutaconsider Nairobi.
Naona sindano limepenya hadi kwenye tundu la nyuma. Vumilia tu, huna budiHuu Uzi ni takataka! Ovaa!
aawapi! Mradi wa Mbezi Luis bus stand na Machinjio ya kisasa vingunguti ni mpaka JPM alipomkurupusha! Sema ni mzee wa kucheza na media! Na kujipambanua na miradi ya Kitaifa alikuwa anani-bore kila JPM alipofanya ziara ya kukagua miradi naye huyo kimbelembele kuanzisha safari kama kujaribu kujipambanua na Mkuu wa Mkuu wa nchi!ukiachana na mapungufu yake mengi, jamaa ni mzur kufatilia miradi ya serikali, i hope kweny zile nafas kumi atateuliwa kuwa naibu kumsaidia jafo TAMISEMI
Huyo yumo humu muda mrefu hiyo ni ID Mpya usikute ni komora096Uyu jamaa anasema ametokea kilifi kenya ndoto yake ilikuwa kufika Dar na amefika, lkn kiswahili chake ni km mbongo hvila jamaa anapiga picha aisee
Hatimaye nimefika Dar es Salaam kutoka Kenya my dream comes true
Picha zake hizo apo atari mzeeView attachment 1512019View attachment 1512020View attachment 1512021View attachment 1512022View attachment 1512024View attachment 1512025View attachment 1512026View attachment 1512027View attachment 1512028
Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tenaaawapi! Mradi wa Mbezi Luis bus stand na Machinjio ya kisasa vingunguti ni mpaka JPM alipomkurupusha! Sema ni mzee wa kucheza na media! Na kujipambanua na miradi ya Kitaifa alikuwa anani-bore kila JPM alipofanya ziara ya kukagua miradi naye huyo kimbelembele kuanzisha safari kama kujaribu kujipambanua na Mkuu wa Mkuu wa nchi!
Kusema kweli Makonda yuko vizuri huu ndio ukweli, Dar es salaam haijawahi kuwa known na safi kama kipindi cha huyu jamaa, mkuu wa mkoa wa sasa hata Jina simjui, hata sura tu, tuwe wakweli tuache unafiki Makonda ni mtu mbunifu sana sana na anafaa sana. He is known, mkoa kama Dar unatakiwa hivo, mtaniambia mkuu wa mkoa huyu.ukiachana na mapungufu yake mengi, jamaa ni mzur kufatilia miradi ya serikali, i hope kweny zile nafas kumi atateuliwa kuwa naibu kumsaidia jafo TAMISEMI
Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tena