game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
Tazama hiki, Hata miti ni mirefu kuliko,nyie ni wajinga, kwa karne hii badala mjenge international-standards stadiums, mnajenga viwanja ambavyo CCM wanamiliki Tanzania, hizo hazina tofauti na viwanja vya CCM, hizo renders zisiwachanganye, subir zikamilike ndo mtanielewa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia hiki cha chini sijui hata wanajenga nini
Sent using Jamii Forums mobile app