What you are showing me are just dreams, even renders are not. So tafadhali baki na ndoto zako.Sasa unalia nn, uchumi wako hauruhusu kuwa na electric rail huna la kufanya na hyo kitu niliyokuambia ni soon tu inakwenda kuwa implemented c mnatujua cc hatuna maneno mingi [emoji116][emoji116]View attachment 1508296
[emoji3][emoji3][emoji3]dreams au co hata bomba EACOP ulisema ni dreams.What you are showing me are just dreams, even renders are not. So tafadhali baki na ndoto zako.
Wawekee features zake. Hao bado wanaishi karne ya 20.Sasa unalia nn, uchumi wako hauruhusu kuwa na electric rail huna la kufanya na hyo kitu niliyokuambia ni soon tu inakwenda kuwa implemented c mnatujua cc hatuna maneno mingi [emoji116][emoji116]View attachment 1508296
Ndio maana Dar ikaitwa jiji la kisasa.Yaani hata zile ambazo ziko proposed kwenye light rail ya Dar ni EMU. Wakenya stay in your lane.
Utofauti wa kimkakati kati ya Tz na kenya ni mbingu na ardhi.Wawekee features zake. Hao bado wanaishi karne ya 20. View attachment 1508299View attachment 1508304
Mji ukiwa na miundombinu ya kuvutia wallahi inafariji sn, nikiwa pande hzo huwa najihisi nipo sayari nyingine kabisa, kumbe ndo mana wazungu wanaishi miaka mingi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1241]View attachment 1508285
Hapo fare tayari kwenda na kurudi ni mia, bt majamaa inabidi wacheza na time yao poa ku recover hela yao...Hiyo ndio maana halisi ya "Failed state", ina maana huwezi kupanga bajeti ya usafiri?, hiyo ni nchi ya hovyo sana. Siwezi kuja Nairobi kwasababu" Kenya is not safe".
NzuriI can't wait for next month [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Najisifia nini na wakati nawaeka radaUnajisifia ujinga.
Hahaha!!uhalisia unasema tofauti[emoji23][emoji23]Wazembe kama wewe ndio wanaoshindwa maisha, lakini 95% ya watanzania wanaishi maisha mazuri, ndio sababu watanzania wengi hawakimbii na kwenda kuishi nchi za nje kama ilivyo huko Kenya. Hii inaonyesha ni jinsi gani pesa yenu ilivyopoteza uwezo wa kununu bidhaa.
Tunachotaka ni lazima kuwepo na "official fare" inayojulikana, hiyo kupunguza chini ya hapo huwezi kuweka katika bajeti, hiyo ni pale inapotokea, most of the time hiyo hutokea muda ambao sio "Peak hours".Hapo fare tayari kwenda na kurudi ni mia, bt majamaa inabidi wacheza na time yao poa ku recover hela yao...
Utakuta kwenda kuna jam na kurudi nijia nyeupe..
So inabidi mcheze na akili ku recover hela yenu, wala sio kusubiria serekali iwapangie kila kitu na wakati saccos mnazo na akili mnazo
Watanzania wanaotamani kwenda South Africa ni Jobless, wakenya wametapakaa nchi zote za Africa, Nigerians, Somalians, Kenyans, Ethiopians, Yemen's, Libyans, na kutoka nchi za Africa ya kati, ndio raia wake wamekimbia nchi zao kwa wingi.Hahaha!!uhalisia unasema tofauti[emoji23][emoji23]
Yani nchi ambayo ksh 12k ni pesa nyingi lkn bado kuna watu wanatembelea rimu..
Ajabu sana
Alafu naona wajifurahisha tu, na wakati karibia vijana wote wa kitanzania wanatamani kwwnda sauzi..
Mkenya hababaikii nchi za afrika bro
Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..Tunachotaka ni lazima kuwepo na "official fare" inayojulikana, hiyo kupunguza chini ya hapo huwezi kuweka katika bajeti, hiyo ni pale inapotokea, most of the time hiyo hutokea muda ambao sio "Peak hours".
Lakini muda wa asubui na jioni ambapo watu huenda na kurudi kazini " fare" inakua ni juu zaidi ya hiyo 200 iliyoandikwa hapo.
Jambo moja ninaloligindua toka kwa ninyi wakenya wengi hapa JF ni kwamba, wengi hamjatembea nje ya Kenya, mnadhani mambo yanayofanyika Kenya ni very unique, hayo yote unayosema kuhusu kypandisha na kushusha "fare" kwa kutegemea kama kuna jam au hapana, hutokea katika nchi zote za dunia ya tatu ambako bado mfumo wa kulipia "fare" hufanyika ndani ya chombo cha Usafiri, actually ni dalili ya kutoendelea.
Umeskia wapi hapa afrika wakenya wamekamatwa kw wingi na kurudishwa makwao kw wingi km vile nynyi, wanaija, ethiopians e.t.cWatanzania wanaotamani kwenda South Africa ni Jobless, wakenya wametapakaa nchi zote za Africa, Nigerians, Somalians, Kenyans, Ethiopians, Yemen's, Libyans, na kutoka nchi za Africa ya kati, ndio raia wake wamekimbia nchi zao kwa wingi.
Huwezi kuta raia toka Seychelles, Mauritius, Botswana, Tanzania, South Africa, Namibia, au Zambia wanakimbia nchi zao kwa wingi.
@komora096 njoo ona vile maisha ni ngumu Kenyamfani mdogo sana huu hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
mtungi wa gas kg 6 unauzwa 3300ksh
wakat mtungi wa gas tz 15kg inauzwa 3800 ksh unweza kupima kww akili ukaona
View attachment 1508170
En still hyo mitungi licha ya kuwa rahisi tz, lkn bado wengine wanaionea mitandaoni tu@komora096 njoo ona vile maisha ni ngumu Kenya
One of the indicators of LDC country ndo hyo joto anasema.Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..
Hilo najua miji mingi sana sana afrika hilo bado ni tatizo..lkn kuuelewa mfumo wa nairobi lazima uje ukae ndipo utaelewa km mambo yanaendaje..
Kamwe huwezi ielewa nairobi kw story za vijiweni
Hili nalo unapinga! Aisee ww ni wa kuombewa kwa kweli.Umeskia wapi hapa afrika wakenya wamekamatwa kw wingi na kurudishwa makwao kw wingi km vile nynyi, wanaija, ethiopians e.t.c
Etc leo unataka kujitoa ufahamu na mwaka huu wamerudishwa kibao