Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, hahahaha. Vichaa wameongezeka Tanzania, kweli Magufuli ametukamata pabaya sana.
 
Hata design ya barabara yenyewe itakuwa na standards kama ya sam-nujoma road sema hii itakuwa na sehemu ya waendesha baiskeli na itatenga maeneo ya kupitisha other utilities but pia inafanyika kulingana na masterplan ya Dodoma
 
Kwa wale wa kusema Kenya maendeleo yako Nairobi tu..
Hapa ni Muranga county panajengwa dual carriage way 84km through Kirinyaga county & Nyeri county.
Hao huwa ni wapiga domo wa ccm huwa hawasemi ukweli maana kama ni statistics za maendeleo bora hata huko maana Dar tu ina GDP takribani 70% ndo rest of tzn zinagawana kilichobakia,hili hutasikia wakiliongelea
Kiukweli kwenye barabara za mijini bado Kenya iko vizuri maana miji mingi mikubwa ya Kenya kuanzia Nairobi,Mombasa,Kisumu,Nakuru nA Eldoret barabara zake ni dual carriage na kuna hadi interchange,overpass na underpass na flyovers tofauti na Tzn ambako ndio kwaanza vitu hivyo vinaanza kujengwa Dar huko mikoani ni za kutafutiza kwa tochi but kelele zao sasa hadi midomo inapauka
 
Mambo kama haya hayatakiwi kuishia Dar na Dodoma tuu,nchii sasa miji mingi imekua na idadi ya watu ni kubwa,dualing of roads zifanyike miji yote mikubwa kama huko Kenya
Barabara hazijengewi idadi ya watu, bali ni idadi ya Magari, hivi unajua idadi ya magari Tanzania nzima ni kiasi gani?, unajua ration ya Magari kwa Population ya Tanzania vs Kenya?, hivi unajua "Vehicle density ya Tanzania vs Kenya?
1)Kenya kuna Gari nyingi kupita Tanzania, wakati Tanzania ni kubwa Mara mbili ya Kenya.
2)Idadi ya Magari yanayopita ktk barabara za Kenya kwa 100Km ni Mara tatu zaidi ya Tanzania kutokana na udogo wa nchi yao na idadi kubwa ya magari ukilinganisha na Tanzania.
3)Ukiacha barabara ya Dar- Morogoro, barabara zingine zote hakuna wingi wa Magari unaohutaji hiyo unayoshauri wewe.
 
Katika vitu nakubali Wakenya ni ujenzi wa dual carriageway mkoa kwa mkoa! Viongozi wenu wanajua barabara.
Ndio maana hata mimi nikasema ifike mahara Viongozi wa Tzn waache kufikiria kimaskini na bila kuona mbele,karne hii sio ya kujenga barabara za single lane tena za surface dressing,walau kama hawawezi kuunganisha miji na miji basi sections za mijini ziwe dualing na mataa kabisa
Mfano kwa sasa Tarura wanajitahidi kujenga barabara za mijini kwa asphalt na wanaweka taa kabisaa but still ni single lane,mbaya zaidi barabara za Tanrodsa sio tu ni single lane but pia haziwekwi taa maeneo ya mjini sasa hii haipendezi
 
Kwa hiyo atumizi ya barabara ni kwa vehicles tuu si ndio? Suala la traffic count zinajulikana kuwa ndio kigezo lakini kusema kwamba eti hali hiyo haijafikia Tzn hasa mijini huo ni uongo na ubishi usio kuwa na faida
Kuna mji gani mkubwa wa Tzn hapa hakuna traffic kubwa? Unajua kwa nini wanapanua barabara ya Moshi- Arusha-Holili kuwa njia 4? ,barabara za miji mikubwa yote kwa sasa zimesongamana na sababu kubwa ni kujenga single lane..barabara ya Mbeya-Tunduma, Mwanza -shinyanga sections plus za mijini zote zimesongamana sana
Pili ukuaji wa uchumi unaongeza kipato watu kumiliki usafiri,ongezeko la watu linatia shinikizo kwenye ununuzi wa magari hasa ya biashara ya usafiri sasa wewe unasemaje kwamba ongezeko la watu halina impacts kwenye uhitaji wa barabara?
 
Magufuli awezeshe jeshi kujenga barabara zote tz achane na local wa mitaani wanajenga barabara zimechoka na kufubaa kabla hata ya uzinduzi zimejaa michanga na vumbi nini sababu mainjinia tusaidieni tatizo nini?
Hujui unachoongea,weka barabara hata 1 iliyojengwa na jeshi popote dunia haina michanga..local sijui michanga vinahusianaje na standards za ujenzi? mkandarasi anajenga mlichompa kulingana na pesa yenu awe local awe nani hakuna cha bure ndugu
 
Maji ya ziwa Rukwa huwa ni hiyo rangi
Maji ya ziwa Rukwa huwa ni hiyo rangi ya matope throughout but yanatumika kama kawaida kwa matumizi ya nyumbani na kilimo..pengine inatokana na hiyo mito kuanzia ukanda wa nyanda za juu mikoa ya Songwe,Rukwa na Nchi ya Zambia ambako kuna udongo mwekundu wa kilimo
 
Tanga, Mtwara, Lindi, Shinyanga, Singida, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, na mikoa mingi mingi ukiacha Mbeya, Dar, Arusha na Mwanza, na sasa hivi Dodoma, hakuna kabisa tatizo la msongamano wa MAGARI.

Tanga kwa mfano, unaweza kukaa hata nusu saa na usione Gari lolote linapita City centre zaidi ya baiskeli na pikipiki, hali ni mbaya zaidi kwa Lindi na Mtwara.

Iringa wamejengewa barabara nne, lakini hakuna MAGARI yoyote yanayoitumia, labda ni chini ya 25% ya matumizi ya hii barabara.

Tunduma kuelekea mpanda, huko ndio usiseme, hata masaa mawili yanaweza kupita bila hata Gari moja kupita. Kaka lazima ukubali kwamba mipango ni matumizi, Tanzania kwa sasa ni Mimi michache sana yenye msongamano wa magari.

Kenya hawana mipango mizuri katika vipaumbele vya nchi. Kenya wanatatizo kubwa sana la njaa, maji na ardhi kwa wananchi wa kawaida, nilitegemea Serikali yao kuwekeza pesa nyingi katika hayo maeneo kabla ya kukimbilia katika barabara za njia NNE. Kwanza wafikishe barabara za lami nchi nzima, kuna maeneo mengi ya Kenya hakuna barabara kabisa, vipi wanaanza kufikiria njia NNE kabla ya kufikisha njia mbili?
 
Unajua unachosema?! Mbona hilo jengo sio la private firm
Kabla ya Magu taasisi za umma na wakala zake zinazojitegemea zilikuwa na uwezo wa ku act kama sekta binafsi kwa kukusanya pesa zao na kuzitumia kwa miradi yao huki wakitoa gawio kwa serikali kuu na kutekeleza majukumu yao mengine
Saizi hawawezi tena ni mpaka serikali kuu iaprove kumbuka pesa zote zinaingia mfuko mkuu wa serikali yaani hazina,from there ndio matumizi yaanzia sasa inakua ngumu kuwekeza kama sekta binafsi ndio maana miradi mingi ya nssf imekwama kama mzizima tower nk na hata hakuna miradi mingine hasa ya majengo ya maana..Hili jengo najua ni mali ya ppf ambayo imekufa saizi sijui liko kwa psssf au nsssf
 
Sasa mbona huko kwenye miji mikubwa hakuna hizo juhudi ukiacha dar na Dodoma? Hata Kenya nimetaja miji yao mikubwa sio kila mji lakini pia kama barabara za mjini zikiwekwa lami zikawa na access nyingi badala ya kutegemea njia moja haziwezi kuwa na msongamano ndio kama Tanga sasa..Mfano Sumbawanga barabara kuu ni moja ambayo ni single lane sasa jioni na asubuhi inaanza kuzidiwa na magari hasa bajaji maana njia za pembeni ya mji sio nyingi sasa by 2025 tayari tutaanza kusubiriana,hakuna kitu nachukia kama foleni.
Dodoma hakutakaa kuje kuwa na upuuzi wa mafoleni,napenda sana wafanye hivyo na mikoa mingine kwa kujenga njia za pembeni au dual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…