Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,394
- 7,241
Tuliwaambia siyo mchezo hadi chizi komora096 kakimbia huu Uzi kaona unamuumiza moyo asije kufa na pressure Bure.
yummy yummy.....
Kwamba kijinchi cha Rwanda kinaizidi Tanzania Kwa barabara?Top 10 African countries with the best roads
SADC - South Africa
- Botswana
- Namibia
East Africa - Rwanda
- Kenya
West Africa - Senegal
- Ivory coast
- Cape Verde
Naitafuta Tanzania sijaona kwenye kundi la top 10 Africa

.huyo achana naye ni mwezi mchanga.Kwamba kijinchi cha Rwanda kinaizidi Tanzania Kwa barabara?.


.
MY TAKE
hawa jamaa Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) ndo pamoja na AVIC INTL Project Engineering Company wale wa nyumba za Kigamboni ndo wameshinda tender ya mradi wa ring Road Dodoma! Ikumbukwe hawa CCECC ndo waliwapiga Kunyaland kwenye SGR! Ningependa Msalato international Airport apewe Mkorea maana nikiiangalia Mloganzila naona finish yao itakuwa matata sana!
Fact,, country ya wachawi
Facts East Africa (@east_facts) Tweeted:
FACT: In Tanzania, albino body parts are after for potions and charms thought to bring luck and wealth. ()
Failed state wanachinjana zaidi ya wanyama poriniFact,, country ya wachawi
Facts East Africa (@east_facts) Tweeted:
FACT: In Tanzania, albino body parts are after for potions and charms thought to bring luck and wealth. ()
mbona limekaa K'koo K'koo ?
Ukistaajabu ya MussaKwamba kijinchi cha Rwanda kinaizidi Tanzania Kwa barabara?.




Hii ni hospital.
mbona limekaa K'koo K'koo ?



