Uchumi utakufa akifanya hivyo, kumbuka kwamba bila Serikali makampuni ya ujenzi yatakufa, miradi ya serikaki ndiyo wanayotegemea kwa asilimia 90% ya kazi zao.Magufuli awezeshe jeshi kujenga barabara zote tz achane na local wa mitaani wanajenga barabara zimechoka na kufubaa kabla hata ya uzinduzi zimejaa michanga na vumbi nini sababu mainjinia tusaidieni tatizo nini?
Nini hiyo muwe mnaweka na maneno ili tuelewe vizuri
hivi kwanin kenya msipitishe hatakijaluo kikawa ndo lugha rasmi maana kingereza nicha wenyewe na kiswahili nicha wenyewe
Hiyo hoja ni potovu ni kama kipindi computer zinaingia ilionekana zitaua ajira ,Uchumi utakufa akifanya hivyo, kumbuka kwamba bila Serikali makampuni ya ujenzi yatakufa, miradi ya serikaki ndiyo wanayotegemea kwa asilimia 90% ya kazi zao.
Walikua wanaisema vibaya sana,ilikua kila mara wakiiponda wanapost picha ya ile station ya mgr ya nairobiWakenya hamuamini macho yenu, mlidhani itakuwa station ya kawaida kudadadeki yn cc na ujanja wetu huu tujenge station ya kishamba km nyie mlivyojengewa Shaolin temple? Never![]()
Hio 'visanduku hata mimi ningeita hivyo hivyo, kumbe ni vijisanduku?
Hivi wanajenga wanavyopenda wao au kulinganisha na mchoro wanaopewa na mwajiri wao(serikali)? Hapa tatizo litakuwa la serikali kukubali kupokea na kulipia barabara zisizo na kiwango.Hiyo hoja ni potovu ni kama kipindi computer zinaingia ilionekana zitaua ajira ,
Hao wafanyakazi na wasomi watakuwa wanaajiriwa jeshini pia kama ni hivyo unavyo sema kwanini hao mainjinia wasiwe wanajenga vizuri ili serkali isije kuwa replace na jeshi ? Kitu cha muhimu ni right decisions siyo kulea upuuzi
Wanajenga barabara hazina lock kuzuia zisimomozoke na zipo chini ya level ya udongo matokeo yake tunawapa kazi watu kufagia michanga kila siku na mavumbi ,cheki barabara za Uganda zilivyo chafu vumbi tupu niujinga kuendelea kutumia wajenzi local wakati wameshindwa kazi
Mpira nyinyi hucheza kwa mdomo tuEast africa na central zitasimama kwa mdaa wa dk 90 kushuhudia derby bora kabisa ukandaa huuView attachment 1504322
Si ndio kusemaa acha unafikiii hiyo secafa siye ndio twaongoza kwa kuchukua kombeeeMpira nyinyi hucheza kwa mdomo tuView attachment 1504352
Kenya has won that cup sixteen times while Tz has won eleven times onlySi ndio kusemaa acha unafikiii hiyo secafa siye ndio twaongoza kwa kuchukua kombeeeView attachment 1504360
😛😛😛☝umeitoa wapi hii? itakuwa twitter watu wanacharurana tayari!
Ndo mana nasema kenya hawana sgr wanabisha