The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Views 8mil c mchezo, kwahiyo kumbe tunavyowakimbiza hawa fisi kuna watu wanacheka tu huko ila hawachangii



Views 8mil c mchezo, kwahiyo kumbe tunavyowakimbiza hawa fisi kuna watu wanacheka tu huko ila hawachangii



The game changer...







Hizi ARC zinakutana juu?! The road deck inabandikwa hapo katikati?!
hvi ndinda tumekukosea nn
Hizi arc zinakutana juu?! The road deck inabandikwa hapo katikati?!
Connecting roads almost done. Jamaa wanajenga barabara kama masihara ila quality ya juu sana.Moja tu zinakutana zinabeba mwenge , zingine zinakua wazi
View attachment 1503849
Connecting roads almost done. Jamaa wanajenga barabara kama masihara ila quality ya juu sana.
Nimependa Toure drive kuna sehemu wameacha kama parking along the road kwa beach goersKenyatta Road earth work almost Done .
Tuliwaambia wakenya kuwa wao ni middle finger country wakabisha
Tuliwaambia wakenya kuwa wao ni middle finger country wakabisha



















Tuliwaambia60% ya wakenya wanaongozwa na kusikiliza maagizo toka Dodoma.
COVID-19: I Wish Magifuli was my President
Tuliwaambia