Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona kama naona nguzo ya umeme katikati ya barabara [emoji23][emoji23][emoji23]
Engineer wa kikenya haoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] alafu wanakuj uku nyenyenye pimbi hawa
 
[emoji23][emoji23] you wish.....hio design haivutiiii hataaaa. Alafu mnaijaza vioo eti ikae modern.There's nothing unique about it, pillars tu alafu unaifunika na vioo vitu vya kawaida. Daah hapa penye stations mmepigwa

Hiyo ni design ya Tanzanite brother.. Zunguka duniani kote hutaona kitu kama hii as our might Tanzanite, so unataka tutoe vioo au [emoji23][emoji23][emoji23] Tutawaua na pressure aisee
 
Tatizo unatanguliza wivu. Hatujajaza Vioo na wala modernity sio theme pekee ya hiyo station. Theme ni Tanzanite na hakuna njia nyingine zaidi ya glass cladding. Kuhusu uniqueness naomba nikujulishe kuwa Africa hakuna station ya aina hiyo tafuta ukipata leta.

I think ni wivu tu, hapo bado haijakamilika aisee.. Mwanzo ilikuwa poor design now glass ndio zinaifanya ionekane 🤣🤣🤣 poor Kenyan.
 
Hizi ni za kupeyana tuu,ukimtoa Ghana hapo nchi zote hapo ni controlled,Egypt ukimtoa Gamal na Morsi wengine woote ni ma puppet,South ni ujinga mtupu 10%white population inatawala uchumi? kinga yao inatoka magharibi,Morocco umavi ni uleule mambo ya monarchy mpaka leo,Kunya ndo funga kazi uwekezaji wa kikandamizi raia hana haki,utawala wa kifamilia,vita vya kikabila etc....mabeberu wana wabackup kwa sababu wanawanyonya......Haya niambie kama hapo hamjabebwa?
Haha,,pole sana hapa Kenya kazi tu,wivu pelekea ccm
 
Show me colorful pavements like those in Nairobi CBC[emoji23]

Me: see the Sidewalks on the right


Adjustments.jpg
 
What about this one[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]poor you......nchi ina chorera hata burundi na rwanda zinawazidi.....na huto kaa uone slums bongo maisha.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]View attachment 1499954View attachment 1499955View attachment 1499956View attachment 1499957View attachment 1499958View attachment 1499959View attachment 1499960View attachment 1499961View attachment 1499964View attachment 1499965
You are showing me Kibera slum, while am showing you the general outlook of Dar. See the difference
 
Show me colorful pavements like those in Nairobi CBC[emoji23]

Me: see the Sidewalks on the right


View attachment 1500053
Watu wanamwonyesha aerial view manina.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeua mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]
 
You are showing me Kibera slum, while am showing you the general outlook of Dar. See the difference
Ukiniambia ww macho yko yanama tege sawa otherwise.....unajitoa ufaham.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom