😂😂😂😂 wewe jama hapa kuna kaukweli, lakini ata kama unaponda, weka mambo kikamilifu, nadhani hii picha ya train ya Morocco ni ya passenger na ile ya Kenya ni ya freight services, though ya freight inaweza tumika kuvuta passenger cabins, lakini hapa ulikua unalazimisha maoni na fikra zako😂😂😂 Tazama tofauti ya freight na ya passenger., though hainipendezi lakini not that bad altogether., 120km/h, in Africa is something, 80KM/h ya freight., nangoja kuona freight ya Tanzania na ya passenger zitakaa vipi., dont be quick to throw stones😂😂😂kua mpole kaka, ata kama yetu ni sura mbaya, pia freight ya SA ni ugly pia😂😂
View attachment 1499357View attachment 1499359View attachment 1499361