mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,447
- 4,953
Ijapokuwa bado ujenzi haujakamilika, Hii station haijawahi kuwaacha majirani salama![]()

you wish.....hio design haivutiiii hataaaa. Alafu mnaijaza vioo eti ikae modern.There's nothing unique about it, pillars tu alafu unaifunika na vioo vitu vya kawaida. Daah hapa penye stations mmepigwa