Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizi ndo bus za kuja Tanzania?
IMG_1593979216.995724.jpg
 
Mi naogopa sana..kwa wakenya walivyo na roho mbayaaa..watalisabotage shirika letu la ATCL si ajabu wakalegeza hata bolts za tairi la ndege ili ipate ajali na kuharibu reputation yake..Wakenya wana roho mbaya mnooo...kama walikuwa tayari kusaliti EAC kwenye EPA kwaajili ya Maua watashindwa hili kweli?
Daah,mimi nawaambiaga watu hawa sio wanadamu wa kawaida,ni miwatu iliyotawalia na ubinafsi,chuki na husda...sii tuu kwa majirani lkn hata baina yao.tumewajua vyema hakuna kuwapa pumzi..ni kulala nao sita kwa sita mpaka wanyee nep.
 
msisahau kuvote humu aise! ni muhimu.. kushinda category yoyote ambayo Tanzania au Zanzibar ipo ni njia mojawapo za kutangaza utalii wetu. Watu wa mataifa mbalimbali wanaweza kuangalia sehem za kwenda kutalii/kupumzika kwa kuangalia washindi wa hizi tuzo
Nikwel kuna haja ya kupig kura....ni vitu vya muhim itasaidia kutambulik kwa Nchi yetu..zaidi duniani
 
Why are you using mucus to think? You think land in New York, Johannesburg, Cairo, Beijing.. etc is easy to get??
Only in a fishing village can you find cheap land in the cbd
With you is always blablabla...so are you compare that town with cairo,New york, Johannesburg even Beijing....
 
Mkuu Geza wakati wa pick season ya utalii...kuna KLM mbili zinazotuaga Kunyaland Asubuhi na KQ na PW ndio wanafanyaga hizo kazi zao kuja hapa kwetu..yuko sawa huyu mjamaa..na yote hii ni ubiya wao na KQ.
Hakuna kitu kama hicho! Route za KLM kwenda KIA huongezeka pia high season!

Hivyo ni vitu ambavyo serikali haiwezi kukubali KLM ili-apply kuja Tanzania on direct flights any less than that is gross violation of the landing permit najua kipindi cha high season ndege hubadilishwa na hata B747 huja mbali na frequency increase!

Huwezi kumkatisha mtu ticket halafu ghafla unaenda kumshusha Nairobi bila matakwa yake! Aisee msiongee kirahisirahisi hivyo! Hivi mnajua IATA rules au mnaropoka tu?
 
Klm inayokujaga TZ ni moja tuu wakati wote,lkn kule kwa wa kunya kutokana na kuwa na hisa ndani ya KQ wanatua ndege tatu....hapa nazungumzia pick season between July and February.yuko sahihi mkuu.
Ukidandia convo za watu uwe makini. Sijakataa klm kutua Kenya hata mara kumi. Huyu mwenzio alisema haziji Tz direct zinashushia Nairobi then PW inaleta abiria Tz. Baada ya kumbana akabadili magoli kuwa zipo flight mbili moja ya Tz direct ingine ya Nairobi. Mambo ya pick season sijui Nairobi inatua mara tatu siyajui wala hayana umuhimu. Nimetumia sana KLM hamna hata mara moja nilipewa option ya kupitia Nairobi.
 
Back
Top Bottom