Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Sasa Hivi nyumba nyungi sana Zina Namba, Postcode na Namba ya nyumba. Posta wanafanya toka 2014.

Hata uswahilini nyumba zina namba . Ukitaja mtaa flani nyumba namba flani hupotei, siku hizi delivery companies nyingi sana.


 
Mangiri wamejazwa ujinga na kina Mbowe na zito..hawataki kuona wala kuskia.
Tuko na upinzani wa ovyo sana,

Mimi kinacho nishangaza ni wapinzani walivyo kuwa wanalazimisha serikali iweke lockdown na kufungia watu ndani lakini cha ajabu sasa hivi wanafanya mikutano yao ya ndani wanajazana halafu hakuna social distance wala kuvaa barakoa.
 
Hata ukiangalia ule ujinga Zitto alioanfika huku,utajua tuu ni uouuzi wa kukinadi chama chake,inanishangaza sana kuona wapinzani wakikosa njia mbadala ya kujiimarisha kuliko kukosowa.....ila mwisho wao unakuja...Wananchi wengi wana ya moyoni.
 
Sasa Hivi nyumba nyungi sana Zina Namba, Postcode na Namba ya nyumba. Posta wanafanya toka 2014.

Hata uswahilini nyumba zina namba . Ukitaja mtaa flani nyumba namba flani hupotei, siku hizi delivery companies nyingi sana.

Kwahiyo wafanyakazi wa posta wanaweza kutuma barua nyumbani au bado inabidi mtu anende kufungua sanduku la posta? Vipi kuhusu muundo wa anwani za nyumba kama hiyo namba 55 ukoje?
 
Kwahiyo wafanyakazi wa posta wanaweza kutuma barua nyumbani au bado inabidi mtu anende kufungua sanduku la posta? Vipi kuhusu muundo wa anwani za nyumba kama hiyo namba 55 ukoje?

Posta sasa hivi wana CUM ( City Urgent Mails) kama EMS au DHL unaletewa ulipo.

Kuhusu nama kwa service provider kama garbage collector ukimpigia simu lazima ajue nyumba namba ngapi. Kuna improvement kuliko miaka ya Nyuma.
 


watu bado wanadhan tanzania ni maskini kama zaman. Aisee!
hii miradi under construction imalizike tu watu wajue tumebadilika
 
Posta sasa hivi wana CUM ( City Urgent Mails) kama EMS au DHL unaletewa ulipo.

Kuhusu nama kwa service provider kama garbage collector ukimpigia simu lazima ajue nyumba namba ngapi. Kuna improvement kuliko miaka ya Nyuma.
Nakumbuka walipoanzisha huu mchakato kipindi cha JK, ila sikudhani kama umeshaenea nchi nzima.
 
Wadau hii issue ya Single sim na Kupigwa fine imekaaje maana ni kama sijaielewa aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…