Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KOT Washaanza kulialia huko online baada ya kuona Dodoma bus stand, sasa wageukia electrical SGR Tanzania! Wivu na roho ya kwanini, kijiba na vijembe vya kujifariji mwendo mmoja!









Iko wazi inawauma sana....ni hasara kubwa kuongozwa na ma Clown.
 
Lke Basin mall Kisumu. The second largest mall in East, Central and Western Africa after Two Rivers mall.
 

Attachments

  • Mall_4.jpg
    89.2 KB · Views: 19
  • Mall_2.jpg
    103.6 KB · Views: 20
Kituo cha Corona kibaha kimefungwa rasmi leo mh.Ummy mwalimu,humu majirani wakiendelea kupukutishwa Corona. Kweli dua la kuku halimpati mwewe.
Nimecheka leo kwenye taarifa ya habari Wakenya wameanza kumjua Mungu wanasema nchi imlilie Mungu awaokoe mana binadamu hawezi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…