I saw them celebrating that they are the only country with many cities in East Africa. Mwingine kasema kuwa wameshapita Kenya since they have 8 cities while Kenya only have 3. How many do you have in Tanzania?Hilo liliniacha hoi
Majiji 8
Mbarara jiji kweli!!
Jinja yenyewe kituko
Hili bomba na pia lile la gesi na Helium na Nickel na graphite resources will catapult Tanzania to be largest economy in East Africa! as they push a lot of investments in petrochemicals, metallugical, emoblity, liquid fueled rockets and in supersonic windtunnels industries!Cheza na JPM
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo pipeline ikijengwa don`t forget to tag me.
Do you really understand what I said? I`m talking about the population to GDP growth rate.Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35M
Kitu kingine ni kwamba wastani as ongezeko la watu Tz Ni kati ya watu millioni 1.5 kwa mwaka wakati GDP inapanda kwa $5B or more kwa mwaka sasa hatuwez kushuka na kingine miradi ya kimaendeleo ambayo ndio inakaribia kikamilika itaongeza revenue na ajira rasmi nyingi moja kwa moja uchumi utapanda
Wewe ndio hujanielewaDo you really understand what I said? I`m talking about the population to GDP growth rate.
We've 6 cities but in real sense only 3 deserve which are Dar, Mwanza and Arusha.....I saw them celebrating that they are the only country with many cities in East Africa. Mwingine kasema kuwa wameshapita Kenya since they have 8 cities while Kenya only have 3. How many do you have in Tanzania?
According to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.We've 6 cities but in real sense only 3 deserve which are Dar, Mwanza and Arusha.....
Kwa Mbeya, Tanga na Dodoma kuna kitu we've to do kuhakikisha ujiji unakuwepo kweli
Nje ya Kampala wana city gani ya maanaAccording to Ugandans they are the best in East Africa cause they have eight cities while Kenya has 3 and Tanzania is also below them.
all in all😂😂👇👇👇