Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mambo yapi yakuvaa bikini kichwani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Heheheheheeee wamebaki kutaja taja 70% na kupunguza urefu wa reli yetu kutoka Dar to Moro, hawapendi kusikia ni 300km [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo ndo SGR halisi sio kama ya kwao Dizel mwanzo mwisho Waone vizuri hizo nyayaView attachment 1491892
Ile SGR ya jirani muda si mrefu itabadilika rangi na kuwa nyeusi tiii kama masizi kutokana na diesel na moshi wakti hii SGR yetu ya umeme itaendelea kumeremeta kwa muda mrefu sana. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ