El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
alafu dar imejengeka within 10 yrs wanawewesuka hvo je ingekua 20 yrs
are you admitting that mlikuwa usingizini?
alafu dar imejengeka within 10 yrs wanawewesuka hvo je ingekua 20 yrs
hatukua na maendeleo kwenye 90s lakini past 10 yrs tulikua moto up to date ni fire ndio maana unaona tanzania inawapeleka mbiombio hamuna raha😀😀😀😀😀are you admitting that mlikuwa usingizini?
zanzibar inajengwa vzr sana tena wanajenga hoteli za kufukia bahari ambazo hakuna ukanda wa east africa😀😀
This is the one courtesy of Britam that will cost 12 billion?Coming up in Kileleshwa
Grand mall,almost to the rival Two rivers
Nairobi Kenya
Kileleshwa Mall
Nairobi
![]()
![]()
![]()
__________________
-
nimeona GDP yao ya 2014 was 860 million dollars. ....Hahaha. Hiyo GDP hata haifikii safaricom





Tuma picha....ata mojazanzibar inajengwa vzr sana tena wanajenga hoteli za kufukia bahari ambazo hakuna ukanda wa east africa😀😀
zanzibar population 500k only so unashangaa nn hapo na hio ilikua 2014 angalia sasa hvi mambo yalivo matamunimeona GDP yao ya 2014 was 860 million dollars. ....Hahaha. Hiyo GDP hata haifikii safaricom
Juakali wengi apo naiNairobi is not the richest county in Kenya. .....world bank
http://www.google.com/url?q=https:/...RokIgA&usg=AFQjCNHTWfwPjpOLzIrzBVwnwmi6CL3u7Q
500k na iyo GDP????zanzibar population 500k only so unashangaa nn hapo na hio ilikua 2014 angalia sasa hvi mambo yalivo matamu
😀😀😀😀😀😀 uliza google mbona gdp ya zanzibar hukuniulizais Zanzibar's million dollar GDP aggregated to Tanganyika's?just asking
Mombasa GDP $7b with 1 million residentszanzibar population 500k only so unashangaa nn hapo na hio ilikua 2014 angalia sasa hvi mambo yalivo matamu
1.2 million people mombasa alafu unatakiwa uelewe mombasa port is not only for mombasa ni ya kenya nzima tofauti na tanzania😀😀😀😀😀 hope umeelewaMombasa GDP $7b with 1 million residents
Zanzibar haitoshi...linganisha na lamu1.2 million people mombasa alafu unatakiwa uelewe mombasa port is not only for mombasa ni ya kenya nzima tofauti na tanzania😀😀😀😀😀 hope umeelewa
lamu ndio nini hio anzisha thread alafu tuone utatokea wapi😀😀😀😀😀😀Zanzibar haitoshi...linganisha na lamu
Haha hivi ndio watu hukubali tu polepole. Kesho utaona vingine useme nairobiipo mbele max 5 years alafu ivo ivo hadi unakubali reality. KudosReally shame someone talking like he is from a developed nation. Nairobi is ahead of Dar 3 years maximum. Some aspects mnatembelea kichwa bora hata Dar.
Zanzibar ndio nini... Utajua hujuilamu ndio nini hio anzisha thread alafu tuone utatokea wapi😀😀😀😀😀😀