iringa dar[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1485706View attachment 1485707View attachment 1485708
Zamani wakati nipo kijana mdogo nilikuwa najiuliza hayo manafasi makubwa kati kati ya barabara ya nn wameyaacha hivyo, kumbe I was too younger to argue [emoji3][emoji3]
Wao miradi yote ya mikopo ya kufa mtu ipo Nairobi tu.342.9km added. Tanzania oyee
Ninachofurahia pia zaid..kuna plan za Kujenga Tabora Zonal Refferal Hospital..Maana Watu wa Kigoma ,Tabora na Mpanda walikuwa wanahitaji kwenda Dom au Mwanza ..for specalized services ..Tabora Zonal Hospital itasaidia Western Zone ..na Hizi Barabara ya Tabora -Kigoma na Tabora Mpanda itafanya ifikikie kirahisi.hence huduma nzuri342.9km added. Tanzania oyee
Wao miradi yote ya mikopo ya kufa mtu ipo Nairobi tu.
Yaan hawa ndo ninacho washangaa..wameifanya Nairobi kuwa nchi...miaka michache ijayo kenya yote itafurika Nairobi, maana watu watakuwa wanafuata maendeleo ambayo kwenye regions zao hazipo na zinaishia Nairobi.
Nairobi itazidiwa kuliko majiji yote yyte uliowahi kuyasikia ulimwenguni. Very stupid country.
Na sidhani kama kuna kiongozi visionary wa kuweza kuishtukia hii ishu uko kenya na kuacha ku centralize maendeleo Nairobi na kupeleka kila pembe ya Kenya.
Kila mradi utasikia Nairobi, mara nn Nairobi...ina maana regions zingine za Kenya ni disaster. Poor Kenyans.
Wewe husoma mtu alichokiandika!?LOL your total paved roads are not anywhere near that number View attachment 1487711
Mikoa ya magharibi walisahaulika sana yani apo wanaona Ni kama miujiza wakati ni vitu walistahili kua navyo kitambo sanaNinachofurahia pia zaid..kuna plan za Kujenga Tabora Zonal Refferal Hospital..Maana Watu wa Kigoma ,Tabora na Mpanda walikuwa wanahitaji kwenda Dom au Mwanza ..for specalized services ..Tabora Zonal Hospital itasaidia Western Zone ..na Hizi Barabara ya Tabora -Kigoma na Tabora Mpanda itafanya ifikikie kirahisi.hence huduma nzuri
Nairobi Express way is taking shape. Though sadly the park is affected.
View attachment 1487662
This beautiful pedestrian foot bridges are coming down. They were designed with earthquake resistance technologyView attachment 1487664
UACHE UJINGA!
View attachment 1487963
Mnazo 4300 kilometres za lami zinazoeleweka, hizo nyingine zote 8k ni utopolo mtupu.Wewe husoma mtu alichokiandika!?