Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unajua nini zaidi ya kuandika broken English?
Ni muhimu kujua lugha ya foreigner hata kama co kwa ufasaha but co njema kuwa mtumwa kiasi hicho, kwa uwezo nliokuwa nao wa kuzungumza kingereza unanitosha and I can communicate with Englishman na akanielewa bila shida yoyote na cjaishia hapa nikipata nafasi ntajifunza lugha zingine pia hata kijaluo kikinikalia sawa najifunza tu[emoji3][emoji3]
 
Hata Mimi nimecheka sana, zile 5 hata moja haijaanza kujengwa. Hapo juu amekuweka 15,000Km za barabara wakati hata kilometa moja ya SGR imewashinda, wameitelekeza porini.
 
Aisee inawezekana, lkn mbn anatukana WaTz humu waliompa ajira.
Ndio shukrani ya punda hii[emoji16][emoji16]

Si unaonaga tunawapea chakula kwa bei rafiki,wanatuponda tena kwamba chakula yetu ni low quality ndio maana haina bei,yet tukifungia ndani wanalia chakula hamna[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…