Mbadala sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 280
- 139
Karbu sana, inchi ya uhuru kamili?? Huku ukija uache huko huko mentality za kuhudu Wazungu waliowachia Mabweni hapoNikija Dar nitakaa hapo CBD. ...naogopa hizo estates zenu.Rayvany alisema ukifua lazma ulinde ama mateja watachangamkia wauze ndio wale bata
Wewe bwana mdogo, umejoin hapa hii thread ikiwa imeashaanzishwa, wakenya wenzio ambao ni nguli wameukubali ukweli na kuondoka wakakimbilia kuanzisha uzi mwingine ambao pia wamekalishwa chini!
Nakushauri uanze kusoma kuanzia post ya kwanza!
Karbu sana, inchi ya uhuru kamili?? Huku ukija uache huko huko mentality za kuhudu Wazungu waliowachia Mabweni hapo
Kuna kitu wwe jamaa ni mugumu kuelewa,Ivi wakenya mnataka tujenge domitory hapa Dar in the name of Estate!! Kwa ajili ya nani? Wabongo kila mmoja ana ardhi hivyo anajenga yeye. Hizo zilizopo ni kwa ajili ya wageni tu na vijana wanao anza maisha hapa mjini. Kwani wageni haturusu kuchukua asset pendwa na adhimu hapa Duniani ambayo ni Aridhi!! Hivyo kujaza domitories hakuna maana mbongo hana haja ya kuishi mabwenini Daimaza kariakooo na upanga nayo ni nini?.....mbona unakaa paka anayejilamba
Kuna kitu wwe jamaa ni mugumu kuelewa,Ivi wakenya mnataka tujenge domitory hapa Dar in the name of Estate!! Kwa ajili ya nani? Wabongo kila mmoja ana ardhi hivyo anajenga yeye. Hizo zilizopo ni kwa ajili ya wageni tu na vijana wanao anza maisha hapa mjini. Kwani wageni haturusu kuchukua asset pendwa na adhimu hapa Duniani ambayo ni Aridhi!! Hivyo kujaza domitories hakuna maana mbongo hana haja ya kuishi mabwenini Daima
ARIDHI -ARIDHI-Ndio kila kitu mkuu nyinyi ardhi ipo mikononi mwa wajanja wachache ndio hao wanawajengea Domitories muishi. Shauli yenu ....... DAR raha sana
Huyu chalii hawezi kukuelewa maana hajui lolote kuhusu miji hii zaidi ya kuona picha! Kubishana na huyu ni kupoteza muda kabisa!Kuna kitu wwe jamaa ni mugumu kuelewa,Ivi wakenya mnataka tujenge domitory hapa Dar in the name of Estate!! Kwa ajili ya nani? Wabongo kila mmoja ana ardhi hivyo anajenga yeye. Hizo zilizopo ni kwa ajili ya wageni tu na vijana wanao anza maisha hapa mjini. Kwani wageni haturusu kuchukua asset pendwa na adhimu hapa Duniani ambayo ni Aridhi!! Hivyo kujaza domitories hakuna maana mbongo hana haja ya kuishi mabwenini Daima
ARIDHI -ARIDHI-Ndio kila kitu mkuu nyinyi ardhi ipo mikononi mwa wajanja wachache ndio hao wanawajengea Domitories muishi. Shauli yenu ....... DAR raha sana
Nyiyi mme kalili what a Mzungu anajua kuhusu miji ndio shida yenuuu. Yaan kuja na maana nyingne hakuna?? Ndio shida yenuHuyu chalii hawezi kukuelewa maana hajui lolote kuhusu miji hii zaidi ya kuona picha! Kubishana na huyu ni kupoteza muda kabisa!
Anahitaji kukaa mda mrefu ajifunze! Yeye anaropoka tu!
Mabweni hayawez define mji bhanaaHuyu chalii hawezi kukuelewa maana hajui lolote kuhusu miji hii zaidi ya kuona picha! Kubishana na huyu ni kupoteza muda kabisa!
Anahitaji kukaa mda mrefu ajifunze! Yeye anaropoka tu!
Wilson Airport Nairobi
8
Mainly used by light aircraft
terminal 1 mainly for light aircraft and private jetsWilson Airport Nairobi
Mainly used by light aircraft
Ardhi yote imeshikwa na politician common people mumebakia kusaga menoNairobi ni mji expensive kununua shamba,
big cities e.g. Johannesburg, Cairo, Tokyo, NYC kumiliki land ni very expensive....ndio maana three quarter ya residents wanaishi kwa apartments.
TEMBEA KIDOGO NJE YA TZ.
Usiguoneshe majengo yapo pembeni ya kibera kaka nimeeka video ya voice of america wakionesha hali halisi ya kibera umepita kimya kimya kwann sasa......πππIchoboy wee mbishi sana ntapanga niende kule kibera nikuletee picha ya hali ilivyo kwa sasa!! Wewe unaona picha za 1990's.
Change in Kibera started in 2013 and the upgrade program (Which is not only in Kibera but other slummy areas) is on going and you can't believe how things are turning out!!
822 Houses were given out August 2016.
Others under construction should be completed before the end of this year 1000 Houses!
View attachment 523332
Haina kazi alikwambia nani au unafkiri nairobi kuna slum moja tu hio kibera inajulikana duniani ndio maana inatajwa sana ila sehemu za uozo zipo kibaoTuusan Kibera haina kazi kama vile Dar. Hebu ona ukubwa wa Kibera hapa.
An estate of 10, 000 units will be enough to open it up!
Rangi zikwapi sasaπ±π±π±π±π±π±Kwani mawe hupigwa rangu? Usituonyeshe ufala kwani wewe kipofu huoni vile hizo nyumba ziko beautiful.... In fact Nairobi inatumia rangi mingi kushinda Tz yote
Sasa unadanganya nani. Hapa ni wapisijawah kuona watu wanaishi kuzimu kama kwenye slums za nairobi yani utasema wanaishi nguruwe subhanallah
hebu have a simple look... hii ni sehemu binaadamu wanaeza kuishi
House of ur dream....wapi nyumba za common kenyans??????Abuja, Ibadan, Lagos apartments zimejaa..
ndio maana Dar ni ugly...kila mtu anajenga vile anataka..no rules