punda ya ngamia
Member
- May 24, 2017
- 13
- 12
Bado mapambano iko? Hi ni ungwana gani? Kama hujatembea Africa Mashariki mwenzangu Nairobi iko mbele Sana.. walakin watanzania wenzangu tuko mbioni na labda tutalikamata hilo jijiji baada ya miaka Mia mbili tu[emoji16] Tusikufe moyo na tafadhali msilete matusi.