Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dadeki😂😂👇👇👇🇹🇿🇹🇿

7631CBC8-9B03-406C-B9C1-470591B2AD70.jpeg
 
Mi nilishangaa kumsikia waziri wa ujenzi anasema mkataba wa hyo phase 2 inabidi kukamilika February 2021 ndipo nikaelewa kwanini wana speed kubwa kwenye hiyo phase inaonekana waliwabana kwenye mkataba.
Yeah ..mkataba unasema hivyo ila project zote kubwa haziishagi on time sitaki kuwa over confident kwamba February 2021 inaisha ..hapo itakuwa around 60%-70%
 
Back
Top Bottom