Camera yako noma hadi sisimizi anaonekana
Wee nani aje kwenye hiyo misitu mwisho ukatane na mungikiUkitaka kivuli safi ndani ya cbd kuja Nairobi, the green city in the sun
View attachment 1483331View attachment 1483332View attachment 1483333View attachment 1483334
Apo ndio green shit in the sun
Misitu in a city,we are blessed,, our Nairobi is beautiful and fresh ju ya hii misitu,Wee nani aje kwenye hiyo misitu mwisho ukatane na mungiki
Wenzio wanaongelea mimea iliyo chanua ndani ya CBD we unaongelea msitu
Ondoeni slums Nairobi. ..mbali na slums iyo city yenu iko poa...kingine mmekua wachafu sana shida iko wap? ?Misitu in a city,we are blessed,, our Nairobi is beautiful and fresh ju ya hii misitu,
slums haziwez toka kwasababu zimebeba 70% ya wakaz wote its hard😂😂😂Ondoeni slums Nairobi. ..mbali na slums iyo city yenu iko poa...kingine mmekua wachafu sana shida iko wap? ?
Kibera,the largest slum in Africa,second in World,5km from Nairobi City Centre is home to 2.5 millions people......imagine Nairobi iko na watu wangapi,hapo kuna ma slums km Eastleigh, Kariabongi,etcslums haziwez toka kwasababu zimebeba 70% ya wakaz wote its hard![]()

kwao sheria hakuna ukiwa na pesa tayar uko juu ya sheriaHawa si walipiga marufuku mifuko ya plastic? Au bado ?![]()
Kazi nzuri..hii ina ka speed..i think(imo) 2021 december it will be donebado mmelala tu?
Morogoro-Makutupora