joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kama unajua Presidential system, usingeuliza jinsi ya mawaziri wanavyochaguliwa, waziri lazima awe ni member of Parliament, sasa utachaguaje waziri MP toka chama tofauti. Jaribu kuelewa tofauti za hii mifumo miwili kwanza.I didn't ask about elective positions, kuna appointments; kama mawaziri, n.k., how many appointments are from other parties?., ama Tz ni technicaly a one party regime.
Discussion was on Kenyan political landscape, not comparative politics, kama unajua political science unaelewa maana ya comparative politics, so have given out politics in the Kenyan scenario, it has its positives and negatives, sikatai. Tanzanian politics ni tofauti sana, can't be mentioned on the same sentence na United States, it is dictatorial with some appearance of benevolence, though not quite kama Rwanda which is benevolent dictatorship, Tz ccm regime thrives on propaganda and cannot tolerate divergent opinion, taken advantage of Tz's unity to hoodwink you and fight off opposition calling them sell outs. Uganda too has a different political landscape, it is more of military government, though Museveni comes from a small tribe in western Uganda, the Banyankole, he rules through threats and instilling fear on his subjects, in politics the Baganda and Basoga are two biggest tribes, yet the main opposition leader still comes from the Nyankole tribe (Kizza Besigye), it is recently that a guy from Buganda, Boby Wine, (Robert Kyagulanyi) has thrown his weight into politics, am waiting to see how it will pun out, though I doubt kama ako na chance. Ugandans too, like Tanzanians are not quite tribal, but they pride in their kingdoms more than national politics. Otherwise baganda would be calling the shots as they are the most economically endowed, and are the residents of Kampala (with a stable Kingdom) and its surroundings.Majority rules?, kwahiyo ninyi kura zenu hupigwa kwa misingi ya ukabila?, kila mtu huchagua kabila lake?. Ndio sababu tunasema hata uwe na uwezo na "Qualifications zote" lakini kama sio mkikuyu, Jaluo au Kalenjin hauwezi kuwa rais Kenya.
Kama nchi zingekua zinachagua kwa kutumia ukubwa wa makabila.
1)South Afrika wasingemchagua Mandela
2)Tanzania tusingempata Nyerere
3)Obama asingechaguliwa huko USA
Ninyi ni wabaguzi na wakabila sana.
Kuhusu kuwachukulia hatua wauaji, eleza nani hadi Leo amekamatwa kufuatia mauaji ya zaidi ya wakenya 2000 wa PEV 2007. Nani alikamatwa hadi Leo kufuatia kifo cha Chris Msando na Jacob Juma?
Huu ndio Uhuru wa kujieleza? Wawili taabani baada ya kuchapisha video ya Rais Uhuru, Raila wakitembea usiku
Ungefafanua vile ilivyo Tanzania, now I understand vile mawaziri wenyu are appointed. Kenya with new constitution waziri sio mp. Now as member of parliament, lazima awe wa chama tawala?Kama unajua Presidential system, usingeuliza jinsi ya mawaziri wanavyochaguliwa, waziri lazima awe ni member of Parliament, sasa utachaguaje waziri MP toka chama tofauti. Jaribu kuelewa tofauti za hii mifumo miwili kwanza.
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big populationKANU si ya kikabila, soma historia ya KANU, maybe kwa sababu president alitoka kwa wakalenjin, but ilianzishwa wakati wa Kenyatta (mkikuyu), NARC (National Rainbow coalition/ndio Rainbow) ilikua muungano wa vyama vingi kutoka upande wote wa Kenya, walimuondoa Moi kwa kumshinda Uhuru Kenyatta wakati aligombea urais kwa tikiti ya chama cha KANU dhidi ya mkikuyu mwenzake Mwai Kibaki., PNU was Kibaki's party, ODM ina umaarufu Nyanza, Western na pwani, Ali Hassan Joho, governor wa Mombasa ni wa ODM ila si mjaluo., Jubilee wengi wao ni Kikuyu na Kalenjin because of population but wako na wajumbe kutoka eneo mbali mbali za Kenya.,
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big population wewe uta conclude eti hizo chama ni za watu wa hiyo lugha, of which is not necessarily true. Kuna watu wanasimama as independent candidates for political position in jubilee and ODM strongholds (yaani mahali pa wafwasi wengi wa hizi chama) na bado wanapita.
anakaa kama Sheria Ngowi Brand designs!Huyo findi ni hatari, nimekua nikimuangalia kwa muda sasa, hata akikaa suruali hazina mikunjo kunjo. Na akisimama kila kitu kinanyooka. Hata suti alizohongwa Rais kikwete na beberu hazioni ndani.
Wacha kuzungumza maneno mengi, kwa ufupi ni kwamba siasa za Kenya ni siasa za Ukabila, hakuna "Any political system" inayofanya kazi hapo Kenya zaidi ya Ukabila.
Tanzania ni kama South Africa ambako chama kimoja kilichoikomboa nchi bado kina nguvu sana kama ilivyokua KANU. Tatizo la KANU kupoteza ushawishi ni historia ya watawala wake kujilimbikizia Mali na kuwagawa watu katika misingi ya ukabila, vinginevyo kama kingeongoza vizuri hadi Leo kingebaki madarakani.
Tanzania siasa yetu inatawaliwa na vyama vya siasa, kwa sasa ni CCM, uwezi jua miaka ijayo CCM ikivurunda tunaweza kupata chama kingine cha siasa.
Kenya ni tofauti, ninyi kwenu ni ukabila, haijalishi ni chama gani cha siasa, muhimu kwenu ni hicho chama ni chama kilichoundwa na kabila lipi, kama sio Kikuyu, Jaluo, Luhya au Kalenjin, sahahu kupata Urais.
Tanzania hakuna ukabilaKenya ni tofauti, ninyi kwenu ni ukabila, haijalishi ni chama gani cha siasa, muhimu kwenu ni hicho chama ni chama kilichoundwa na kabila lipi, kama sio Kikuyu, Jaluo, Luhya au Kalenjin, sahahu kupata Urais.
As at now hii[emoji121][emoji121]to some extend ni kweli., bali chama cha siasa hakiundwi na kabila per'se but inaweza pata support kutoka kwa kabila flani kupitia kwa kiongozi anavyo shawishi watu wake.,
Tanzania hakuna ukabila
Nitajie Kabila gani limetawala ktk ngazi ya Urais au hata Makamu wa Urais kujirudia
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Kea mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA...Makamu wa rais ni Sharti awe MzanzibarHilo hakuna mwenye amepinga humu., ama kunaye?
Amesema approximately 13k. Meaning tarmacked roads are less than 13k.
Ingekuwa higher angesema mko above 13k. But because you are below that number, ameround off the numbers to the nearest thousands to look better. So as of now you are still below 13k.
Hujui hisabati wewe, takriban maana yake +/-Less than 13k. Hata Uganda is ahead of you.
Hiyo mitungi ya chang'aa ambayo Tanzania tunatumia mgr huko kwenu kunyaland ndio amazing train?Kwa train ya public transport tulichemsha, bora ifanye kazi. Ya freight iko sawa, can handle double stark.
Kenya has the most amazing train Station in Africa
Bonai
Jun 15, 2020 8:37 PM
Opera News Kenya
Only for Opera News funs.
Follow
The Mombasa - Nairobi Standard gauge Railway is a Standard gauge Railway (SGR) in kenya that connects the large Indian Ocean city of Mombasa with Nairobi the country's Capital city.
At a cost of US $3.6 Billion, the SGR is the Kenya's most expensive infrastructure projects since independence.
The prime contractor CRBC which hired 25000 Kenyans to work on the railway CRBC's holding company is contracted to operate the line for its first 5 years.
An extension from Nairobi to Naivasha was completed in October 2019.
Stations
Mombasa terminus
Concentric Circles and a central tower representing a ripple in the ocean.
Mariakani
Porticos are inspired by coconut trees, which are plentiful in the region.
Voi
V-shaped like a person with raised hands, representatives the spirit of Harambee. V is also the first letter of Voi.
Mtito Andei
Slopping roofs representing Mount kilimanjaro and chyulu hills
Kibwezi
Based on traditional African architecture with leaves that shade passengers from the sun
Emali
A closed fist, representing unity
Nairobi terminus
Two trains with a bridge on top
Topic ni stations[emoji23][emoji23], yaani naongea kuhusu "kichwa/uso" wewe unatazama "tako"., [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja train zenyu zije zianze kazi then we will discuss.Hiyo mitungi ya chang'aa ambayo Tanzania tunatumia mgr huko kwenu kunyaland ndio amazing train?
Hauja elewa mawazir wanavy chaguliwa kuna waziri aliye toka bungeni itategemea rais kapendezwa na member gani wa bunge hata mpinzani anaweza kuchaguliwa kuwa waziri na waziri aliye tokea kwenye secto ya umaa. ...hairusiwi wazir wa Tz akawa cyo muajiiriwa wa zerikali au member wa bunge.Ungefafanua vile ilivyo Tanzania, now I understand vile mawaziri wenyu are appointed. Kenya with new constitution waziri sio mp. Now as member of parliament, lazima awe wa chama tawala?