Wewe unataka kunilazimisha nijiexpress kwa kiswahili, which am not good at?., I will mix, Engkish/Swahili mradi point inaeleweka na wengi humu., wewe meza wembe.Lugha, mavazi, vyakula, na ngoma ni utambulisha wa jamii husika, huwezi kwenda kwa wajaluo ukakuta wanazungumza kikamba hata kama wanakijua vizuri, huwezi kwenda Uingereza ukakuta wanazungumza kijerumani wenyewe kwa wenyewe labda awepo mjerumani asiyefahamu kiingereza.
Sisi wote hapa tunaelewa Kiswahili vizuri na wote Kiswahili ni lugha ya mataifa ya Kenya na Tanzania, wewe hicho kiingereza unamlenga nani, wacha upumbavu wako.
Message sent and delivered, achana na utumwa.
Mimi sio Tanzania, kuna watanzania 60M."...are humble.." ungejua maana ya humility wewe ungefyata domo domo., you are the grand definition of pride, kama kweli Tanzanians are truly "humble"(if not stupid and idiots), then wewe ndio unawaibisha[emoji23][emoji23][emoji23]Serikali ya ccm inataka raiya kama watanzania ili itawale milele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1481262
Hahahaha, huwezi kujieleza vizuri kwa Kiswahili wakati ndio lugha yako ya Taifa?. "Kenya not yet Uhuru"Wewe unataka kunilazimisha nijiexpress kwa kiswahili, which am not good at?., I will mix, Engkish/Swahili mradi point inaeleweka na wengi humu., wewe meza wembe.
Point taken idiot.Mimi sio Tanzania, kuna watanzania 60M.
Unapaswa kutumia 80% Kiswahili katika mazungumzo, 20% unaweza kuchanganya na lugha zingine, kwasababu hiyo ndio lugha yetu ya mataifa haya mawili.Andika kwa Kiswahili., wacha utumwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], "message sent and delivered" ndio nini?
Thank you " a slave".Point taken idiot.
Unapaswa kutumia 80% Kiswahili katika mazungumzo, 20% unaweza kuchanganya na lugha zingine, kwasababu hiyo ndio lugha yetu ya mataifa haya mawili.
Thank you " a slave".
" dump enough to keep voting and elect corrupt and tribalist leaders= Kunyaland"...are humble.." ungejua maana ya humility wewe ungefyata domo domo., you are the grand definition of pride, kama kweli Tanzanians are truly "humble"(if not stupid and idiots), then wewe ndio unawaibisha[emoji23][emoji23][emoji23]Serikali ya ccm inataka raiya kama watanzania ili itawale milele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1481262
" dump enough to keep voting and elect corrupt and tribalist leaders= Kunyaland
Taja kati ya Kenya na Tanzania, ni nchi gani wananchi wanauliwa hovyo na vyombo vya dola na hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wanapidai haki zao za kujieleza?, is that what you call freedom?Tanzanians are too dumb to maintain the same backward and propagandist government since independence[emoji23][emoji23] Sisi tunajaribu ata kama tunakosa ( tunafanya trial and error), tuta demonstrate na kurusha mawe, burning tyres kwa barabara, kuanika mitandaoni na ku report kwa media yale mabaya yote serikali inafanya(freedom of expression tunao in a big percentage in comparison na nyie), kama nikunyoroshana tutanyoroshana hadi kieleweke., one day we will get it right, si kukaa tu kinyonge nyonge., na kudanganywa kirahisi rahisi na kupiga makofi tu [emoji23] mumekabwa makende kama vile China imewashika raiya wake. Any divergent views inanyamazishwa ama kuambiwa "wewe si mzalendo" narrative [emoji23]
Kwani CCM ni nani?kama CCM ni Watanzania wakitawala kuna shida gani? Well,you pride yourself to be free,nioonyeshe Umoja wa kitaifa Kenya.nionyeshe fahari ya taifa lenu ni nini,yet you hate each other.Nyie ndio wapumbavu kupindukia[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya mkoloni kuondoka u are colonized by CCM kishenzi, both body and soul(mind), wangekua na uwezo wangeshika na spirit zenyu, ila mwenyezi Mungu na hekima yake isio kua na kipimo ni mwema sana! ndio maana wanyenyekevu kwake wameona mwanga na wanakombolewa, can't be fooled, they can read in between the lines, dissecting propaganda from reality. Na ni wachache mno! The rest tabu tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taja kati ya Kenya na Tanzania, ni nchi gani wananchi wanauliwa hovyo na vyombo vya dola na hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wanapidai haki zao za kujieleza?, is that what you call freedom?
Uliza ni nchi gani ambayo kama hautoki kwenye baadhi ya kabila kuu za hiyo nchi, hauwezi kuwa rais hata kama upo na "Qualifications zote?. Is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo kupata kazi serikalini hasa Serikali kuu inategemea sana kabila lako?, is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo inaongoza ktk " political assassinations with impunity?, is that what you call freedom?
Hilo liko wazi......hata sanaa yetu inaeleza wazi...we are Pure and Natural.Hiyo ni tabia ya wakenya kupenda kujikweza, huku kwetu hatuna tabia hiyo, hata ninyi wakenya mnajua kwamba "Tanzanians are humble and genuine people".
Kwani CCM ni nani?kama CCM ni Watanzania wakitawala kuna shida gani? Well,you pride yourself to be free,nioonyeshe Umoja wa kitaifa Kenya.nionyeshe fahari ya taifa lenu ni nini,yet you hate each other.
Akujibu nione.Taja kati ya Kenya na Tanzania, ni nchi gani wananchi wanauliwa hovyo na vyombo vya dola na hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wanapidai haki zao za kujieleza?, is that what you call freedom?
Uliza ni nchi gani ambayo kama hautoki kwenye baadhi ya kabila kuu za hiyo nchi, hauwezi kuwa rais hata kama upo na "Qualifications zote?. Is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo kupata kazi serikalini hasa Serikali kuu inategemea sana kabila lako?, is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo inaongoza ktk " political assassinations with impunity?, is that what you call freedom?
Sisi ni Ndugu, hatufanyi siasa za makabila...sisi hatuuani kwa sababu ya Madaraka...Siasa kwetu haifanywi kwa matabaka(uwe na pesa ama usiwe nazo )Nyie mnapendana kweli? ama ni unafiki mnao wenyewe kwa wenyewe? kupigana vijembe chini chini, ama kulogana(kurogana) mnajijua vizuri. Tanzania mtu anacheka na wewe ukiondoka ana anza udaku. Afadhali yule anakuambia yale yalio moyoni mwake wazi wazi.
CCM is an ideology, a system, not a person, which has condemned you to poverty since independence. Magufuli as a person he has tried, but is limited by the system's ideology. Kuna wenyewe pale, Magu hana uwezo wowote kama haujui, mbwa anaye bweka sana mara mingi hua haumi. Coming out of that shithole will be a tall order.
Taja kati ya Kenya na Tanzania, ni nchi gani wananchi wanauliwa hovyo na vyombo vya dola na hakuna hatua zinazochukuliwa wakati wanapidai haki zao za kujieleza?, is that what you call freedom?
Uliza ni nchi gani ambayo kama hautoki kwenye baadhi ya kabila kuu za hiyo nchi, hauwezi kuwa rais hata kama upo na "Qualifications zote?. Is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo kupata kazi serikalini hasa Serikali kuu inategemea sana kabila lako?, is that what you call freedom?
Taja ni nchi gani ambayo inaongoza ktk " political assassinations with impunity?, is that what you call freedom?