Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa wapuuzi tuwafungie mipaka.. walielie njaa kwa kwanza kama wiki tatu hiv ndo tuwafungulie.. yan washike adabu kwanza
Tayari wafanyibiashara wenu wanalia ya kwamba hawaruhusiwi kuuza vitu kenya
 
Yani hawa jamaa wana mbinu za kitoto sn, hata watoto wa primary washajua kwamba target yao ni utalii, wameumia sn kuona watalii wakimiminika nchini wkt wao wamejifungia, wanatamani watangazie dunia kwamba Tz ndio inaongoza kwa covid-19 duniani, wanatamani mpaka ufungwe kabisa tatizo njaa ndiyo inayowaharibiaView attachment 1468800
Mtapimwa tu
 
I have been saying here that Tanzanian army is nothing
Budget kubwa ya nn kwa nchi tulivu km hii, hatuna vita vya wenyewe kwa wenyewe, tunapendana, tunaamini cc ni wamoja, zen mpuuzi atoke anapotoka aje kutushauri eti tuwekeze pesa nyingi kwenye jeshi ili tugundue nn kwa mfano, au tuwekeze pesa nyng ili tuje kusaidia wenzetu wanaouana kila siku ili iweje, mijitu ynyw haina shukran unaisaidia na bado haitaki kuku respect, yn hamjatushawishi bado na mctegemee kuikuta Tz kwny list km hyo, pesa inaingia kwenye miradi ya msingi kuhusu jeshi we chokoza uone
 
Screenshot_20200604-170335~2.png
Screenshot_20200604-170435~2.png
Screenshot_20200604-170531~2.png
Screenshot_20200604-170929~2.png
Screenshot_20200604-171001~2.png
Screenshot_20200604-170848~2.png
Screenshot_20200604-170620~2.png
Screenshot_20200604-170716~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20200604-170620~2.png
    Screenshot_20200604-170620~2.png
    495.5 KB · Views: 7
Back
Top Bottom