Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati hii battle inaanza Wakenya walidhani tunatania, hata baadhi ya WaTz walikuwa hawakubaliani na ukweli uliopo baina ya Dar ya ss na Nairobi, walikuwa wamekaririshwa kuwa wakoloni walichagua Nairobi kuwa makazi yao na miji mingine ya nchi jirani za EA waliamua kuifanya kuwa mashamba, but now hata wale WaTz waliokuwa upande wa Wakenya wamekaa kimya ila wamebaki kuendekeza usiasa tu lkn ukweli wanaujua kwmb Dar imeipiga bao la mkono Nairobi na hata Wakenya wameshagundua hilo wamebaki kulaumiana wenyewe kwa wenyewe, Magu hawatomsahau yn 4 yrs only were enough to make this big gap between the two cities
Kile kiwanda cha Africab kinachotengeneza vifaa vya umeme ikiwemo kuuza transfoma zake hadi Kenya wapo mbioni kuja na kiwanda cha kutengeneza madawa.
 
Bwhahahaaa!!rudi kw post ya mwenzako uone kaandika nn
Mwenzio kasema android, sasa sijui utamsaidiaje
Humu Jf huwa unaingia kwa kutumia nn makalio au, mana PC huna lazima utumie android ambayo ndiyo OS ya icho kitochi chako.
 
Yani hawa jamaa wana mbinu za kitoto sn, hata watoto wa primary washajua kwamba target yao ni utalii, wameumia sn kuona watalii wakimiminika nchini wkt wao wamejifungia, wanatamani watangazie dunia kwamba Tz ndio inaongoza kwa covid-19 duniani, wanatamani mpaka ufungwe kabisa tatizo njaa ndiyo inayowaharibia
Screenshot_2020-06-04-20-16-15.jpeg
 
Miradi mitatu ambayo inatuinua juu .
1.SGR to be electrified status U/C phase I 77%Complete,Phase II 30% Complete
2.Julius Nyerere Hydroelectric Dam status U/C
3.ATCL revival to boost tourism and domestic demands

Kwann;
Sera ya viwanda inahitaji umeme wa uhakika So hapo tumecheza

Pili Utalii unatuingiza pesa mingi ya kigeni tunawafuata walipo...

Tatu Usafirishaji ni sekta muhimu zaidi...usafurishaji wa haraka na wa uhakika
 
Kile kiwanda cha Africab kinachotengeneza vifaa vya umeme ikiwemo kuuza transfoma zake hadi Kenya wapo mbioni kuja na kiwanda cha kutengeneza madawa.
Aha!niliwaambia nugu humu, come 2025,itabidi tukae Kuandika mikataba ya biashara upya nao kwa sababu viwanda vinavyojengwa,vitapunguza pakubwa imports ya bidhaa almost 90%kutoka kwao.
 
Humu Jf huwa unaingia kwa kutumia nn makalio au, mana PC huna lazima utumie android ambayo ndiyo OS ya icho kitochi chako.
Ukija mombasa nitafute uje uone km huaga natumia nn
Usisahau place, ganjoni hata sio mbali na mombasa sports club
 
read the comments, most have doubted the source! do you even undoubtedly believe Uganda & Zambia are ahead of us??
Yes, Uganda is ahead of you by far. That one nobody can dispute.
 
Back
Top Bottom