The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527


kuna neno hapo limewachoma sn, hawajui kwamba hilo ndio jina la ss la Dar es salaam.

kuna neno hapo limewachoma sn, hawajui kwamba hilo ndio jina la ss la Dar es salaam.Mambo yanazidi kupamba moto.Amkeni amkeni bwanaaa....Phase 3 ya BRT leo imetangazwa kutafutwa mkandarasi wake...yaan ni mwendo wa bandika bandua..uku phase 2 inaendelea na tayari phase 3 iko online inatafuta wa kudate naye.
View attachment 1468689
Ndo mana nkasema kuna neno limechoma watu humu, but ndo jina la ss la Dar, tunaomba radhi kwa lugha iliyotumika Key trade and tourism hub in East and Central of Africahatimae tumerudisha ufalme wetu wa tourism hub in East Africa.
*Dar Es Salaam is a key trade and tourism hub in East Africa.*
ukiona wasema tourism hub ujue kuna watalii wanakuja kupitia hio ndege


Ndo mana nkasema kuna neno limechoma watu humu, but ndo jina la ss la Dar, tunaomba radhi kwa lugha iliyotumika Key trade and tourism hub in East and Central of Africa![]()
...waache waendelee na maigizo yao ya Corona...wakija kuamka watakuta ,Tanzania is now:Wakati hii battle inaanza Wakenya walidhani tunatania, hata baadhi ya WaTz walikuwa hawakubaliani na ukweli uliopo baina ya Dar ya ss na Nairobi, walikuwa wamekaririshwa kuwa wakoloni walichagua Nairobi kuwa makazi yao na miji mingine ya nchi jirani za EA waliamua kuifanya kuwa mashamba, but now hata wale WaTz waliokuwa upande wa Wakenya wamekaa kimya ila wamebaki kuendekeza usiasa tu lkn ukweli wanaujua kwmb Dar imeipiga bao la mkono NairobiMambo yanazidi kupamba moto.
Majirani wanawewesela

na hata Wakenya wameshagundua hilo wamebaki kulaumiana wenyewe kwa wenyewe, Magu hawatomsahau yn 4 yrs only were enough to make this big gap between the two cities 



Amkeni amkeni bwanaaa....Phase 3 ya BRT leo imetangazwa kutafutwa mkandarasi wake...yaan ni mwendo wa bandika bandua..uku phase 2 inaendelea na tayari phase 3 iko online inatafuta wa kudate naye.
View attachment 1468689
. Finally, sasa subirini hapo Azikiwe pawe BRT bus Stop, ndio nilikua nawaza hapo wanasubiri nini.Au NDINDA![]()
sio mimi, tena hapa hajapiga picha nzuri, eneo hilo hajalitendea Haki
. Angepiga Long exposure moja matata hapo.ukipta sign board tag me 😂😂😂😂 nafunga acc jamii forumHatutaki sign board bwana Ichoboy01
is this sign board 😂😂😂😂Construction of Sh62 billion Nairobi expressway starts
the-star.co.ke
Jun 3, 2020 11:00 PM
Had been delayed after attracting divergent opinions for a long time
![]()
The construction of the dual carriage Nairobi expressway has begun, signalling a possible end of traffic jams in the city.
On Wednesday, excavators, rollers, graders, loaders and bulldozers were busy doing preliminary groundwork on the area between the dual carriage of Mombasa Road.
Dozens of heavy-duty tippers were parked at an already cleared area near Jomo Kenyatta International Airport as drivers took a rest over lunch hour.
The Chinese funded-project is financed through a Public-Private Partnership and had been delayed after attracting divergent opinions.
It is on course, employing dozens of workers who have a reason to smile as many remain at home due to job losses brought about by the coronavirus pandemic.
Some of the areas with evidence of works include the South B footbridge where machines are digging trenches.
Between the Mombasa Road dual carriage, trees have been cleared, paving way for more advanced works.
At the JKIA intersection, a section has been carpeted with murram, with huge heaps of soil by the side of the road.
The Sh62 billion expressway is part of Kenya’s Vision 2030 development programme. It starts at JKIA and terminates at James Gichuru junction along the Waiyaki Way in Westlands.
There will be 10 interchanges at Mlolongo, SGR terminus, Eastern and Southern bypasses, Capital Centre, Haille Selassie, Museum Hill, The Mall - Westlands and James Gichuru Road junction.
The project is intended to ease traffic, hence reduce the energy and fuel costs associated with traffic snarl-ups.
Estimates from the Kenya National Highway Authority indicate that the city loses Sh50 million daily to traffic jams.
Edited by R.Wamochie
The views expressed in this article are the writer's, they do not reflect the views of Opera News. Please report any fake news or defamatory statements tokenya_public@operanewshub.com
Report a problem
9
dislike![]()
Open in Opera News to see all hot comments
EldadOluoch·10h![]()
2Reply![]()
beautiful, people like sonko should look from far, he refused to sign some cheque thinking he can derail the government work, oh man, the government is long armed. Uhuru ame amua. twende kazi, wako pamoja na AU engineer rep.
ThomasOpondo_02·2h![]()
Reply![]()
Atleast we are seeing work being done. If that requires loans so be it. People will be employed and traffic jams will be a thing of the past. With the handshake we support Ounye all the way as we now trust that funding for the projects are not being siphoned off to people's pockets. So long as loans for funding projects are being used for intended purpose please borrow more and more. We shall pay from the enormous net benefits accruing. All projects giving good returns must and should be funded even if it means taking loans.
Jakochenya·3h![]()
Reply![]()
That's great
Kujeni muone huyu nuguKwa msingi huo huo,Sasa hapo jiulize swali..speed inakuwa nayo simu au mitambo!!??..
Yaani ni sawasawa na gari ya BMw yenye speed ya 200 km/h kwenye barabara mbovu,lazima utembelee speed ndogo kwa sababu infrastructure hairuhusu,lakini speed ya ile gari ipo palepale,kwa hiyo speed ipo kwenye gari na si infrastructure(barabara)..na hata kwenye mfano wako mitambo ni infrastructure ila speed ni uwezo wa simu,kwa hiyo speed inakuwa nayo simu na si mtambo(infrastructure)
Duh wakenya walimu wenu wana kazi,hamuelewi hadi mpewe mifano ya maandazi na bagia!!?!??![]()



Kuja umsaidie mwenzako kuhusu fastness na wewe..Khaa acha kujidharaulisha dogo....unatumia simu gani?
Bwhahahaaa!!rudi kw post ya mwenzako uone kaandika nn3gb kwa android phone si nyingi,hivi nyie wakenya mnawaza kwa kutumia ubongo au matako??!!!
Ahaaa nishajua nyie mmezoea wi-fi za kuibia,hamna ubavu wa kununua data


Wakenya wanawashwa sana na yasiowahusuKinachoendelea huko Kunyaland wakiandamana juu ya Black lives matter!
Daaah nilipita hapo late Dec palikua hamna izo mamboleo nimepita wami nikakuta ujenzi wa bridge ukiendeleamagu ni kiboko aiseeView attachment 1468738View attachment 1468739View attachment 1468740View attachment 1468741View attachment 1468742View attachment 1468743View attachment 1468744View attachment 1468745