Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I like this era of youtubers. No filters, yani vitu real kabisa. Here are videos of Nairobi CBD and Dar CBD. The difference is like day and night, look at the cleanliness and planning of both CBDs. Anybody that is comparing the two cities is mad.

Mombasa road Vs Kijitonyama. No filter no editing.

Hii kitu bado imewachanganya sn, Ubungo interchange a.k.a The one and only
tapatalk_1590845928439.jpeg
 
1520 TSH at 21.74 exchange rate ni sawa na 70 Kenyan Shillings. Unaweza fanya hayo uliyosema na 70 Kenyan Shillings?? sijui Huko Gorofani kama pako sawa.
1520 kenya unafanya hayo yote aliyokuandikia
 
Nilijua tu atatokea mjinga atakuja andika pumba kuhusu hilo
Youtubers bado wataendelea kuwaumbua tu jomba..
Yani hzo videos zimechukua kila kitu
Tofauti ya Nairoba na Dar ipo tena kubwa sana, hzo videos alizoweka uyo mpuuzi cjaangalia cz najua Dar cku zote ina majengo mengi kuliko Naipori km unabisha angalia.
 
Tofauti ya Nairoba na Dar ipo tena kubwa sana, hzo videos alizoweka uyo mpuuzi cjaangalia cz najua Dar cku zote ina majengo mengi kuliko Naipori km unabisha angalia.
Sasa unajibu kitu ambacho hujaona
Sema tu huna bando
 
Nilijua tu atatokea mjinga atakuja andika pumba kuhusu hilo
Youtubers bado wataendelea kuwaumbua tu jomba..
Yani hzo videos zimechukua kila kitu
Umeona venye CBD yao ni chafu bila filters? 😂 😂
 
Back
Top Bottom