Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am not a fan of watches. I have never owned one in my life, hata ile ya shilingi mia moja
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu tuoneshe simu unayotumia sasa hvi screenshot
 
Leta hyo source kutoka World Bank co unatuletea wahuni humu, alafu mbn vitu cmple tu, nyie c mnazo hzo picha za slums Tz zitupieni humu, mbn cc tunatupia zenu na mnazikubali
Ile yako ya Index something (screenshot ya tweet) umeleta a few pages back nikacheka official source. Kuhusu slums, picha za uswazi zimetupwa hapa Mara nyingi. Hakuna hata ya kuzirudia
 
Ss hzo huku kwetu ndipo wanaishi poor people, lkn tukitaka kulinganisha na poor people wa kenya mnaanza kulia lia oohh dream house unalinganisha na kibera, ss tufanyeje mana kosa co letu, maskini tupambanishe na maskini mwenzie au co
Basi masikini mko nao wengi if what you say is anything to go by coz uswazi mko nazo kushoto kulia jiji nzima
 
Ile yako ya Index something (screenshot ya tweet) umeleta a few pages back nikacheka official source. Kuhusu slums, picha za uswazi zimetupwa hapa Mara nyingi. Hakuna hata ya kuzirudia
Japo inauma ila huo ndiyo ukweli hakuna slums Tz, shida tuliyokuwa nayo ni watu kujenga hovyo hovyo pale Dar basi, na hilo halipo tena lishaanza kutatuliwa, hakuna kujenga hovyo hovyo, unajua miaka ya nyuma tulikuwa na uongozi dhaifu km nyie mlionao sahz ndo mana
 
Back
Top Bottom