Kwani kibera iko wapi?Mtanzania ukitaka kujua ameshindwa siku zote, ngoja tu akianza kupost picha za kibera, hapo unajua sasa kaamua kumwaga unga na maji ili sima isipikwe, hata hizo picha za eneo kubwa ukiuliza tutakupatia tu kiazi kizidi kufura kwa koo!
View attachment 1462363
View attachment 1462367
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapo ni wapiKwani kibera iko wapi?
hvi mm hua najiuliza hawa ile GDP iko wapi na inasaidia nn, hii ni failed state[emoji15][emoji116]
Heheheheheeee waje waige na hii co kutengeneza mabanda ya kuku na kuanza kuwaambia tax payers wametengeneza Ikulu, hebu tulinganishe na huu uchafu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Ikulu ya Dodoma
View attachment 1463398
Huyu bibi Magu hajawahi kumsahau kwakweli, hv ndo inatakiwa kuwaenzi wazee wetu cz tunawaongezea umri wa kuishi
Magu bhn anawaambia wawauzie kwa bei ya juu[emoji3][emoji3]
That is why kuna kitu Ndinda alisema jana kuhusu GDP [emoji23][emoji23][emoji23]
Wametisha tayari, order itawekwa ya Boeing 767-300F moja mwaka ujao wa pesa.Safi sana, naona kwa upande mwingine corona imeiamsha GOT kwmb cargo plane ni muhimu sana, I hope mwakani wataweka order hata ya ndege mbili za kuanzia
What is so special kwa hiyo building?unajua kuwa the modern statehouse ni hii ya Dar and that ya Dodoma ndiyo hakuna hata kulinganisha na hiyo banda yenu hapo??Heheheheheeee waje waige na hii co kutengeneza mabanda ya kuku na kuanza kuwaambia tax payers wametengeneza Ikulu, hebu tulinganishe na huu uchafu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1463482