Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya ni wachache sana humu, active members hawafiki hata 20 ...... Kwahivyo hilo si jambo la kusingizia manake wakenya humu ni kidogo sana, ila watanzania wako kwa forum 'yao' kwahivyo inafaa kila mtanzania aruhusiwe kutoa opinion yake bila kuzuliwa manake ako kwake...
Kama unataka kuona wakenya wakilalamikia kila kitu enda twitter au enda forum za kikenya kama JamiiForums.com utapata kurasa nyingi sana watu wakiponda nchi yao.
 
Ila muwe mnapiga picha ktk eneo kubwa bila kuyatenga mengineView attachment 1461674
Mtanzania ukitaka kujua ameshindwa siku zote, ngoja tu akianza kupost picha za kibera, hapo unajua sasa kaamua kumwaga unga na maji ili sima isipikwe, hata hizo picha za eneo kubwa ukiuliza tutakupatia tu kiazi kizidi kufura kwa koo!








 

Attachments

  • fourways 2.jpg
    106.5 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…