The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Walikuwa wameanza kucheka eti mjengo haufanani na render now wametulia km hawaoni vileee[emoji3][emoji3]haya ndio mambo wasioyapenda yatokee nje ya kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1461581View attachment 1461582View attachment 1461583
wanakwambia wana middle income wengi huku unemployment rate iko over 40% inaongoza africa sasa sijui chakula kinashuka kutoka mbinguni kama vile kondoo waisrael😂😂😂Watanzania wenzangu hamjawahi kuniangisha [emoji23]
Hivi vitasa mlivyo toa humu leo ni balaa [emoji23]
Hiyo tunasema mtoto akililia wembe mpe [emoji23]
wajitahidi watafika😂😂👇👇Jengeni viwanja vipya achaneni na huu uchafu
Wanadhani wapo nairaland humu [emoji23]wanakwambia wana middle income wengi huku unemployment rate iko over 40% inaongoza africa sasa sijui chakula kinashuka kutoka mbinguni kama vile kondoo waisrael[emoji23][emoji23][emoji23]
Naziona tarmac roads, Naona bati za maana juu simply means ni nyumba za block, hebu zoom utuoneshe slum hapo [emoji3][emoji3]Kama hapa
View attachment 1461703
anakwambia wananunua nyumba 😂😂😂 dah nimecheka sana leoNaziona tarmac roads, Naona bati za maana juu simply means ni nyumba za block, hebu zoom utuoneshe slum hapo [emoji3][emoji3]
Ujue wakenya saiv wanahaha na tanzania tu ndo kitu kinacho wasumbua kichwa sera na mifumo kwa sasa imekaa vizuri utapitwa tu kibera boys
Hapa wanataka kujenga daraja ama?construction going on
View attachment 1461752