Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you mentioned poorest in EAC na Hilo chama tukufu ya CCM?., second last lowest middle class in EAC, yet second largest economy! Shida iko wapi bro?., ama munasingiziwa na wazungu? kuna pia takwimu za kiafrika zinawamulika tu.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unemployment na middle class ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Dodoma University iko na somo la uchumi (economics)? If interested unaeza join I sponsor you a crash programme ili tuelewane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
umeanza kuleta porojo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so unataka kukataa kua kenya haiongozi africa kwa unemployment rate [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna self employment
 
Middle income from which Economy?, mlikua mkijisifu kuwa na $millionaires wengi kabla ya Knight Frank kuwaumbua, Kenya hamna middle class kubwa kuishinda Tanzania.

Kama Tanzania ina idadi kubwa ya $millionaires zaidi ya Mara mbili ya idadi ya Kenya, iweje Kenya iwe na middle class wengi kuzidi Tanzania?, tumia akili na muache kujidanganya.
 
hushamgai kwann unemployment rate muko juu hushangai below poverty line muko juu hushangai debt to GDP ratio iko juu😃😃😃 hushangai even hunger is there always
 
huwez kua na middle income wengi alaf unemployment rate ikawa juu haiwezekani bro hapi ndipo jubilee wanapowasaga kama mbuzi 😂😂😂 yani ww huna kazi over 40% alaf uwe na middle income wengi munalishwa kutoka mbinguni au
 
😂😂😂😂 debt to GDP ratio 64% inapumulia mipira ya mikojo wanakopa mpaka pesa ya kupambana na locusts
 
Signboard ndo ufanye nini wewe, hivi uko na sign boarsd ya kila mradi hapo Tanzania? Signboard sikuhizi zinakua replaced na tovuti! KWahivyo next time ulizia tovuti kama hakuna sign board!
Kwenye" site" lazima pawekwe sign board wacha ushamba.
 
umeanza kuleta porojo sasa 😂😂😂😂 so unataka kukataa kua kenya haiongozi africa kwa unemployment rate 😂😂😂

ounataka kukataa kua kenya haiongozi africa kwa unemployment rate njaa, ufisadi ,miradi hewa je wameisahau
 
kwamba this is just normal to kenyans😂😂😂😂👇👇👇

The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
Serengeti is 30,000 km² , Kenyatta land is 2023 km² That means hilo eneo la serengeti linaweza kufit wananchi wote wa EAC ukigawanyia kila mtu 1/8 an acre kama walivyofanya kwa hio tovuti.

Tsavo east Nationa park in Kenya ni 13,747 square kilometres, Hio pia inaweza kusettle wakenya wote 50 Million na kubaki extra 9,000 km² ndani ya tsavo east ambayo ni tosha kwa wanyama wa mbuga.

Nairobi County ni 696 km² , Kibera ni 2.38 km² Ndani ya Nairobi County kuna protected forests and parks nyingi sana, Nairobi National park pekee ambayo iko ndani ya Nairobi County ni 117 km² , Hio pekee ni 50 times bigger than Kibera land mass.



Kwahivyo kuna sekemu nyingi sana ambazo zinaweza ku settle population yote ya Kenya, mimi tayari niko na karibia 20 acres in my name, Na ukichanganya familia yote tuko na takriban 100 acres.. Ukitumia hio hesabu ya hio link ulioleta hizo acres zinatosha kuishi watu 4,000!!!
 
Do you know how data is captured?., researchers hawaendi kwa watu binafsi na kuwauliza whether employed or not, they pick from employers., what of jua kali sector?, mama ntilie? (Kuna wenye wanatengeneza pesa nzuri sana), forex traders kama mimi?, farmers (agribusiness guys), matatu owners?., buda boss enda soma wacha brah brah zako., Mbona Rwanda imewashinda kwa middle class?., jibu?
huwez kua na middle income wengi alaf unemployment rate ikawa juu haiwezekani bro hapi ndipo jubilee wanapowasaga kama mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23] yani ww huna kazi over 40% alaf uwe na middle income wengi munalishwa kutoka mbinguni au
 
Source please
 
hii ni maeeno yanajulikana what about unknown areas ambazo anamiliki coz ni pilitician😂👇👇👇

The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans



alaf unakuja hapa confirtable just one person kumiliki ardhi kubwa kama hio munataka kila kitu tuwafundishe sisi

 
Hapa sidhani kama atarudi tena, hawa jamaa ni wajinga sana, wanadhani hatufiki Kenya.
Hatufiki wewe na nani? Taja sehemu zile ulizoo tembelea nikuulize swali., nyambaff![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie ni wale masikini munaingia, na uwezo wenyu dhaifu hauwezi tembea ama kufika kila eneo, ni shighuli na kupotea, hauna hela, pesa ya Kenya inameza hiyo ya madafu mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Taja hizo sehemu.....
 
Hapa ndipo utakapo jua akili ya hawa jamaa nikam iko kwenye paralize embu tulia kidgo jiulize Tz n kenya kweny swala la chakula tunaweza kubishana ...mbn unatakiwa utumie akili ya kuvukia barabara tu..kwel nikaz yani hata sina haja kuleta evidence kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…