Wanaigeria wanatukubali sn
Azam wako vzr kwny suala la quality.
Home sweet home.Mambo yanaenda vizuri
Mbezi Luis Bus StandView attachment 1460485
Kwa ss ni mwendo wa kuwapiga magepu tu, yn kwa jitihada zilizopo Tz km hatutaongoza EA kiuchumi after 5 yrs nafunga accnt Jfwap mpesa sijui safaricom

.Kwnn wasiachane nalo shirika mfu km hili, btw najua ni sehemu ya mlo wa wakuu.no profit since 2012
Uhuru ameua nchi, ndo mana huwa naamini viongozi wanazaliwa hawaandaliwi, co lazima baba akiwa kiongozi basi mtoto naye awe kiongozi ni upuuzi kuamini hivyo.angalien mazingira ya Nairobi kweny hii video
Kile kiwanja c kinajengwa kwa ufadhili wa Morocco au?Tiba tupo vizuri, elimu tayari tuna yale matrilioni ya WB, hiyo pesa inaenda kujenga kiwanja cha mpira Dodoma
Ndo hii miradi cheap inayowasukuma kupambana na Tz, mtasubiri sana aiseeKitengela tamuu sana![]()


Morocco hawaeleweki ndio maana mpaka Ile design yao imefutwa, saivi Tanzania inasimamia show yenyeweKile kiwanja c kinajengwa kwa ufadhili wa Morocco au?
sijapita mda huko.. naona ujenz wa barabara ushafika hapo chin ya jengo
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu za kutafuta umaarufu, walidhani hii ni Tz ya JK wabadilishane uwanja kwa madini, heheheheheeee wamegonga mwamba kwa chumaMorocco hawaeleweki ndio maana mpaka Ile design yao imefutwa, saivi Tanzania inasimamia show yenyewe


Yes, si unaona hata muonekano wa uwanja utakaojengwa ni tofauti na ule wa mwanzo.Kumbe zilikuwa mbwembwe tu za kutafuta umaarufu, walidhani hii ni Tz ya JK wabadilishane uwanja kwa madini, heheheheheeee wamegonga mwamba kwa chuma![]()
Hata mm nilikuwa najiuliza mbn design imebadilika, btw ile design ya mwanzo ckuipendaYes, si unaona hata muonekano ni tofauti na ule wa mwanzo.
Mdogo mdogo tu itaelewekaHii Ndio evidence? 😂😂😂😂😂😂 aki mko desperate
😂 😂 🇹🇿💉Ndo hii miradi cheap inayowasukuma kupambana na Tz, mtasubiri sana aisee![]()