Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahah huyo dereva atakuwa alileta kimbelembele wakaamua kumuonyesha nani mwanaume itabidi akakandwe na mkewe! shenzy type WATU WAMEZIBUA MTARO.....! Hawa Wapumbavu juzi walikuwa wanachekelea Watanzania kuchapwa viboko kwao!
watu wamefukua chemba😂😂 kwa lugha ya mtaani wanaita sprenko😃😃
 
Hapa ndipo ule msemo wa mwezako akinyolewa zako tia maji......mlidhihaki watu humu ndani kisa askari wenu walicharaza wa Tz viboko huko kwenu .....aya chekeni sasa mwenzenu kaliwa kiboga[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Same thinking.
 
Karma is a bitch [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…