Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,174
- 107,754
That's a super rich tourist coming on board a private jet!Angalieni hiyo ni ndege aina Gani, ndio mnapofahamu kuwa Tanzania is doing LOW DENSITY, HIGH QAULITY, HIGH PRICED TOURIST PRODUCTS.
Wanaweza kuja watalii Wanne lakini waakacha Mkwanja wa watalii (Mass Tourists) 50,000[emoji23].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zile media zilizo kuwa zinakesha kumkashifu JPM [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
Hatuwezi kuendelea na kafyu, lockdown, Rais Uhuru asema
Cc: Nicxie, komora096 Teargass MK254 mwaswast Zigi Rizla Edward Wanjala [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1457493View attachment 1457494
Tanzanite bridge
walicho fanya wenyewe ni handshake😁Nimecheka sana. Jamaaa hawana wanachoweza kufanya wenyewe. Sijui elimu yao inawajenga kwenye nini?
Ndio MkuuSasa hivi V shaped pillars zimeanza kutake shape juu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Angalieni hiyo ni ndege aina Gani, ndio mnapofahamu kuwa Tanzania is doing LOW DENSITY, HIGH QAULITY, HIGH PRICED TOURIST PRODUCTS.
Wanaweza kuja watalii Wanne lakini waakacha Mkwanja wa watalii (Mass Tourists) 50,000[emoji23].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Makonda bhn eti anakuambia ktk vitu ambavyo utajutia basi ufe kipindi hiki kabla ya kuiona Tz ijayo, kwamba vitu vyote vya ulaya vipo Tz kwa Afrika mashariki na kati [emoji3][emoji3][emoji3]
Majitu fulani yenye pesa zao, lockdown imewaathiri kisaikolojia, ss wakaona watafute nchi moja tulivu duniani ambayo joto lipo, baridi lipo, mvua ipo, jua lipo, umande upo, mvuke upo, bahari ipo, ziwa lipo, mbuga zipo, wakaona hawawezi kusubiri KLM wakaona wachukue private jet [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]noma ni private jet. they must be very rich people, hawajataka usumbufu wa kusafiri na ndege za abiria
View attachment 1457734View attachment 1457735View attachment 1457736
noma ni private jet. they must be very rich people, hawajataka usumbufu wa kusafiri na ndege za abiria
View attachment 1457734View attachment 1457735View attachment 1457736
Anha hyo service road..ukichunguza vizur hata kigamboni linayomwanzo nilivyoona hio barabara ya machuma nilikuwa sielew hili daraja linajengwaje ila sasa nimeelewa
Hizi private jets huwa nyingi sana pale KIA muda wote, most of the time utazikuta zipo 4 mpaka 6 kule ndani ya yard KIA zimepark, wakitua hapo wanakamata Cessna charter flights wanaingia mbuganinoma ni private jet. they must be very rich people, hawajataka usumbufu wa kusafiri na ndege za abiria
View attachment 1457734View attachment 1457735View attachment 1457736
Ile plan ya airport Mugumu inabidi iangaliwe tena maana believe me kuna matajiri hawapendi purukushani za kubadili ndege KIA wanataka maximum privacy! Take example labda leo ametoka mkutano hapo Silicon valley anataka ku-refresh mind yake Serengeti na "escort" then J3 yupo kazini! Kukiwa na kiwanja cha maana at least size ya Bukoba airport tutawakamata sana wale mabilionaire yaani ni straight ndani ya Mugumu watu wa customer wanawafuata kugonga muhuri wa entry kwenye tent zao! JK was weak kukubali kuachia deal ya Tudor Jrn. kuhepa kwasababu tu ya kelele za mafalamanga wa Kikenya!Hizi private jets huwa nyingi sana pale KIA muda wote, most of the time utazikuta zipo 4 mpaka 6 kule ndani ya yard KIA zimepark, wakitua hapo wanakamata Cessna charter flights wanaingia mbugani
Wakenya wakumbuke kuna maisha wakati wa COVID -19 na kuna maisha baada ya COVID -19Hizi private jets huwa nyingi sana pale KIA muda wote, most of the time utazikuta zipo 4 mpaka 6 kule ndani ya yard KIA zimepark, wakitua hapo wanakamata Cessna charter flights wanaingia mbugani